Makabila zaidi ya 128 yanayopatikana Tanzania Bara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makabila zaidi ya 128 yanayopatikana Tanzania Bara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GwaB, Jul 22, 2012.

 1. GwaB

  GwaB JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 19, 2014
  Messages: 612
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza kama kweli Tanzania ina jumla ya makabila mia ishirin.Kwa hesabu zangu sijawahi kufikisha hata hiyo mia bila baadhi ya makabila kujirudia,.

  Je kuna ukweli katika dhana hiyo kama tulivyokaririshwa tangu tukiwa wadogo?.

  Nawaomba wanaforum tufikiri kwa pamoja na tujaribu kuyataja makabila ya Tanzania 120 ili tuweke takwimu sawa.

  Naomba kuwasilisha.

  ------------------------

  Haya hapa mkuu, Ila Nyerere alikataza ukabila na umimi.


  Waalagwa (pia wanaitwa Wasi)
  Waakiek
  Waarusha
  Waassa
  Wabarabaig
  Wabembe
  Wabena
  Wabende
  Wabondei
  Wabungu (au Wawungu)
  Waburunge
  Wachagga
  Wadatoga
  Wadhaiso
  Wadigo
  Wadoe
  Wafipa
  Wagogo
  Wagorowa (pia wanaitwa Wafiome)
  Wagweno
  Waha
  Wahadzabe (pia wanaitwa Watindiga)
  Wahangaza
  Wahaya
  Wahehe
  Waikizu
  Waikoma
  Wairaqw (pia wanaitwa Wambulu)
  Waisanzu
  Wajiji
  Wajita
  Wakabwa
  Wakaguru
  Wakahe
  Wakami
  Wakara (pia wanaitwa Waregi)
  Wakerewe
  Wakimbu
  Wakinga
  Wakisankasa
  Wakisi
  Wakonongo
  Wakuria
  Wakutu
  Wakw'adza
  Wakwavi
  Wakwaya
  Wakwere (pia wanaitwa Wanghwele)
  Wakwifa
  Walambya
  Waluguru
  Waluo
  Wamaasai
  Wamachinga
  Wamagoma
  Wamakonde
  Wamakua (au Wamakhuwa)
  Wamakwe (pia wanaitwa Wamaraba)
  Wamalila
  Wamambwe
  Wamanda
  Wamatengo
  Wamatumbi
  Wamaviha
  Wambugwe
  Wambunga
  Wamosiro
  Wampoto
  Wamwanga
  Wamwera
  Wandali
  Wandamba
  Wandendeule
  Wandengereko
  Wandonde
  Wangasa
  Wangindo
  Wangoni
  Wangulu
  Wangurimi (au Wangoreme)
  Wanilamba (au Wanyiramba)
  Wanindi
  Wanyakyusa
  Wanyambo
  Wanyamwanga
  Wanyamwezi
  Wanyanyembe
  Wanyaturu (pia wanaitwa Warimi)
  Wanyiha
  Wapangwa
  Wapare (pia wanaitwa Wasu)
  Wapimbwe
  Wapogolo
  Warangi (au Walangi)
  Warufiji
  Warungi
  Warungu (au Walungu)
  Warungwa
  Warwa
  Wasafwa
  Wasagara
  Wasandawe
  Wasangu (Tanzania)
  Wasegeju
  Washambaa
  Washubi
  Wasizaki
  Wasuba
  Wasukuma
  Wasumbwa
  Waswahili
  Watemi (pia wanaitwa Wasonjo)
  Watongwe
  Watumbuka
  Wavidunda
  Wavinza
  Wawanda
  Wawanji
  Waware (inaaminika lugha yao imekufa)
  Wayao
  Wazanaki
  Wazaramo
  Wazigula
  Wazinza
  Wazyoba
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Wadigo na wagiriama
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,056
  Likes Received: 3,416
  Trophy Points: 280
  Wamaasai wa Tanzania na wamaasai wa Kenya.
   
 4. a

  alpha5 JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  wakuryia mara na wakuryia sirari migori kenya . ni kama mtu na mdogo wake
   
 5. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,175
  Likes Received: 2,800
  Trophy Points: 280
  Wairaqw wa Tanzania ni Sawa na Wahabeshi wa Ethiopia
   
 6. T

  Truth Matters JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2013
  Joined: Apr 12, 2013
  Messages: 775
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
 7. kidole007

  kidole007 JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2014
  Joined: Dec 22, 2012
  Messages: 2,702
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  1.wakurya
   
 8. M

  Manyerere Jackton Verified User

  #8
  Mar 22, 2014
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 2,349
  Likes Received: 643
  Trophy Points: 280
  Unataka kutambika? Anyway, mengine si makabila, bali ni koo tu! Kwa mfano, wakabwa, wazanaki, waikizu, waisenye ni kama kabila moja tu.
   
 9. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2014
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  haya tusubiri wizara ya utamaduni ije na orodha kamili
   
 10. nzalendo

  nzalendo JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2014
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,880
  Likes Received: 2,639
  Trophy Points: 280
  + WAMACHAME,WAKIBOSHO,WA URU,WA OLD MOCHI,WA KIRUA,WA MARANGU,WA ROMBO (wote ni wa chaga)....ila hii mambo ya ukabila kwa nyakati hizi haitufai......
   
 11. Chachu Ombara

  Chachu Ombara JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2014
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 4,673
  Likes Received: 3,885
  Trophy Points: 280
  Haya hapa mkuu, Ila Nyerere alikataza ukabila na umimi.


  Waalagwa (pia wanaitwa Wasi)
  Waakiek
  Waarusha
  Waassa
  Wabarabaig
  Wabembe
  Wabena
  Wabende
  Wabondei
  Wabungu (au Wawungu)
  Waburunge
  Wachagga
  Wadatoga
  Wadhaiso
  Wadigo
  Wadoe
  Wafipa
  Wagogo
  Wagorowa (pia wanaitwa Wafiome)
  Wagweno
  Waha
  Wahadzabe (pia wanaitwa Watindiga)
  Wahangaza
  Wahaya
  Wahehe
  Waikizu
  Waikoma
  Wairaqw (pia wanaitwa Wambulu)
  Waisanzu
  Wajiji
  Wajita
  Wakabwa
  Wakaguru
  Wakahe
  Wakami
  Wakara (pia wanaitwa Waregi)
  Wakerewe
  Wakimbu
  Wakinga
  Wakisankasa
  Wakisi
  Wakonongo
  Wakuria
  Wakutu
  Wakw'adza
  Wakwavi
  Wakwaya
  Wakwere (pia wanaitwa Wanghwele)
  Wakwifa
  Walambya
  Waluguru
  Waluo
  Wamaasai
  Wamachinga
  Wamagoma
  Wamakonde
  Wamakua (au Wamakhuwa)
  Wamakwe (pia wanaitwa Wamaraba)
  Wamalila
  Wamambwe
  Wamanda
  Wamatengo
  Wamatumbi
  Wamaviha
  Wambugwe
  Wambunga
  Wamosiro
  Wampoto
  Wamwanga
  Wamwera
  Wandali
  Wandamba
  Wandendeule
  Wandengereko
  Wandonde
  Wangasa
  Wangindo
  Wangoni
  Wangulu
  Wangurimi (au Wangoreme)
  Wanilamba (au Wanyiramba)
  Wanindi
  Wanyakyusa
  Wanyambo
  Wanyamwanga
  Wanyamwezi
  Wanyanyembe
  Wanyaturu (pia wanaitwa Warimi)
  Wanyiha
  Wapangwa
  Wapare (pia wanaitwa Wasu)
  Wapimbwe
  Wapogolo
  Warangi (au Walangi)
  Warufiji
  Warungi
  Warungu (au Walungu)
  Warungwa
  Warwa
  Wasafwa
  Wasagara
  Wasandawe
  Wasangu (Tanzania)
  Wasegeju
  Washambaa
  Washubi
  Wasizaki
  Wasuba
  Wasukuma
  Wasumbwa
  Waswahili
  Watemi (pia wanaitwa Wasonjo)
  Watongwe
  Watumbuka
  Wavidunda
  Wavinza
  Wawanda
  Wawanji
  Waware (inaaminika lugha yao imekufa)
  Wayao
  Wazanaki
  Wazaramo
  Wazigula
  Wazinza
  Wazyoba
   
 12. M

  Manyerere Jackton Verified User

  #12
  Mar 22, 2014
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 2,349
  Likes Received: 643
  Trophy Points: 280
  Sijaona kama kuna Wanandi
   
 13. Chachu Ombara

  Chachu Ombara JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2014
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 4,673
  Likes Received: 3,885
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. GBBali

  GBBali JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2014
  Joined: Sep 2, 2013
  Messages: 1,567
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Sijaona wakwaya na wahangaza Nimewaona umejitahidi sana wataturu vp
   
 15. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2014
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,224
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Dah nimeona wakaguru nimefurahi sana
   
 16. kisanganyakiswata

  kisanganyakiswata JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2014
  Joined: Jan 28, 2014
  Messages: 1,014
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Sijaona watongwe. Wasukuma
   
 17. Honey Faith

  Honey Faith JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2014
  Joined: Aug 21, 2013
  Messages: 15,834
  Likes Received: 5,533
  Trophy Points: 280
  Kuna makabila mengine ndo nayaona leo
   
 18. Bzimana

  Bzimana JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2014
  Joined: Mar 18, 2013
  Messages: 486
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mbona wahangaza wamo ndani
   
 19. k

  kavale JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2014
  Joined: Dec 1, 2013
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ila jamaa mtaal
   
 20. m

  marikiti JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2014
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 2,686
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Sijaona wagigikoko
   
Loading...