Makabila zaidi ya 128 yanayopatikana Tanzania Bara

hii orodha ni ya makabila ya asili ya kitanganyika tu? Mbona sioni wahindi, baniani, waajemi, waburushi, waarabu,etc

ilala-dar,bonde la usangu,muscat fisi didia mkoa wa shinyanga,iringa,sehemu za tanga na zanzibar
 
kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza kama kweli tanzania ina jumla ya makabila mia ishirin.kwa hesabu zangu sijawahi kufikisha hata hiyo mia bila baadhi ya makabila kujirudia,.

Je kuna ukweli katika dhana hiyo kama tulivyokaririshwa tangu tukiwa wadogo?.

Nawaomba wanaforum tufikiri kwa pamoja na tujaribu kuyataja makabila ya tanzania 120 ili tuweke takwimu sawa.

Naomba kuwasilisha.

------------------------

bravoo---- 125
 
Haya hapa mkuu ni 120, Ila Nyerere
alikataza ukabila na umimi.
Waalagwa (pia wanaitwa Wasi)
Waakiek
Waarusha
Waassa
Wabarabaig
Wabembe
Wabena
Wabende
Wabondei
Wabungu (au Wawungu)
Waburunge
Wachagga
Wadatoga
Wadhaiso
Wadigo
Wadoe
Wafipa
Wagogo
Wagorowa (pia wanaitwa
Wafiome)
Wagweno
Waha
Wahadzabe (pia wanaitwa
Watindiga)
Wahangaza
Wahaya
Wahehe
Waikizu
Waikoma
Wairaqw (pia wanaitwa Wambulu)
Waisanzu
Wajiji
Wajita
Wakabwa
Wakaguru
Wakahe
Wakami
Wakara (pia wanaitwa Waregi)
Wakerewe
Wakimbu
Wakinga
Wakisankasa
Wakisi
Wakonongo
Wakuria
Wakutu
Wakw'adza
Wakwavi
Wakwaya
Wakwere (pia wanaitwa
Wanghwele)
Wakwifa
Walambya
Waluguru
Waluo
Wamaasai
Wamachinga
Wamagoma
Wamakonde
Wamakua (au Wamakhuwa)
Wamakwe (pia wanaitwa
Wamaraba)
Wamalila
Wamambwe
Wamanda
Wamatengo
Wamatumbi
Wamaviha
Wambugwe
Wambunga
Wamosiro
Wampoto
Wamwanga
Wamwera
Wandali
Wandamba
Wandendeule
Wandengereko
Wandonde
Wangasa
Wangindo
Wangoni
Wangulu
Wangurimi (au Wangoreme)
Wanilamba (au Wanyiramba)
Wanindi
Wanyakyusa
Wanyambo
Wanyamwanga
Wanyamwezi
Wanyanyembe
Wanyaturu (pia wanaitwa Warimi)
Wanyiha
Wapangwa
Wapare (pia wanaitwa Wasu)
Wapimbwe
Wapogolo
Warangi (au Walangi)
Warufiji
Warungi
Warungu (au Walungu)
Warungwa
Warwa
Wasafwa
Wasagara
Wasandawe
Wasangu (Tanzania)
Wasegeju
Washambaa
Washubi
Wasizaki
Wasuba
Wasukuma
Wasumbwa
Waswahili
Watemi (pia wanaitwa Wasonjo)
Watongwe
Watumbuka
Wavidunda
Wavinza
Wawanda
Wawanji
Waware (inaaminika lugha yao
imekufa)
Wayao
Wazanaki
Wazaramo
Wazigula
Wazinza
Wazyoba
 
So na Wameru WaPo kundi Gani hapo? Waarusha ndio wapi hap??

Mkuu wameru wanapatika Arumeru- Arusha
na pia waarusha nao wanapatika katika wilaya za Arusha(mjini) na Arumeru. Na ndio hasa asili ya jina la Mkoa wa Arusha(waArusha) na wilaya ya Arumeru. Aru(waARUsha) Meru(waMERU). Japo kuna watu wanachanganya Wamaasai na Waarusha japo sio kabila moja.
 
Kwahiyo hawana lugha nyengine zaidi ya kiswahili na ni mwaka gani waswahili walianza kuongea hii lugha?
Nalog off
In fact ukiacha hizi lugha za kuazima za Waarabu na Wazungu, hawa Waswahili hawana lugha nyingine. Wao ni tofauti na Wazaramo, Wakwere na Wandegereko walio katika mkoa huu huu.
 
In fact ukiacha hizi lugha za kuazima za Waarabu na Wazungu, hawa Waswahili hawana lugha nyingine. Wao ni tofauti na Wazaramo, Wakwere na Wandegereko walio katika mkoa huu huu.

Nashukuru kwa majibu yako.
Nalog off
 
Kuna mmoja kaweka mada inayohusiana na majina ya ukoo ya makabila mbalimbali nchini Tanzania, nimeona si vibaya nikaja na hili la list ya makabila yote yaliopo nchini kwetu Tanzania.

Hii itatusaidia sisi kuifahamu vizuri jamii zetu na asili ya nchi yetu (Historia ya jamii za Tanzania na asili zake)

Kwa kuanzia naanza na haya machache kama yafuatayo:

MBEYA:

1. Wanyakyusa
2. Waileje
3. Wasangu
4. Wasafwa
5. ......

MOROGORO:

1. Wapogoro
2. Waluguru
3. .......

MWANZA:

1. Wasukuma
2. Wakerewe
3. .........

SIMIYU:

SHINYANGA:

KIGOMA:

PWANI:

DODOMA:

SINGIDA:

ARUSHA:

MANYARA:

KILIMANJARO:

TANGA:

LINDI:

MTWARA:

RUVUMA:

NJOMBE:

RUKWA:

TABORA:

KAGERA:

MARA:

KATAVI:

Mnaweza kuyataja kwa makabila mnayoyafahamu...hii ni sehemu nzuri ya kutunza asili zetu zetu Tanzania!

Karibuni..
 
Back
Top Bottom