Dawa yake unatumbulia jibu na chunusi hilo shuka maana bikra ya ukweli ni tabia sio damu coz hata Changudoa alizaliwa na bikra.
Hahaahaaaaaaaaa! Kama soft je na hamna mwenye jipu, mwaenda machinjioni kuchukua kidogo supply!!!!!!!!!!!! Umenichosha kwa kweli na jibu lako!!!!!!!!!!!
kama room ina mbu wa kutosha basi unajiachi wakufyonze damu halafu kazi inakuwa ni kuwatumbua na kupangusia damu juu ya shuka...
Ni lipi hilo nije nitangaze ndoa mapema lol!!!!!Kabila letu Bikra ni LACK OF OPPORTUNITY!!!!!!!!!!!! Tena inaonesha kuwa kaka yetu hatofaidi kabisa maana amemuemploy mtu ambae ni UNQUALIFIED, LACK OF SKILLS, 0 EXPERIANCE, hivo hata performance yake kazini itakuwa chini ya viwango.
Ni lipi hilo nije nitangaze ndoa mapema inaonekana mna maujuzi kama watoto wa mtwara lol!!!!!Kabila letu Bikra ni LACK OF OPPORTUNITY!!!!!!!!!!!! Tena inaonesha kuwa kaka yetu hatofaidi kabisa maana amemuemploy mtu ambae ni UNQUALIFIED, LACK OF SKILLS, 0 EXPERIANCE, hivo hata performance yake kazini itakuwa chini ya viwango.
Mzee wa rula mbona siku hizi hata form 4 mbali siku hizi watoto wana chakachua mapema mnoooo mi nakumbuka back then mama alikuwa ananiambia ukijaribu tu huo mchezo akili zinaishamo basi ikawa full kuogopa, ila siku hizi akichelewa sana bikra itatolewa darasa la 5Kipindi hicho walikuwa watu wanaoa darasa la saba tu hivyo ilikuwa rahisi kupata hao mabikra. Lakini sikuhizi mtoto akifika tu form 4 hana hiyo kitu kabisa.
Kipindi hicho walikuwa watu wanaoa darasa la saba tu hivyo ilikuwa rahisi kupata hao mabikra. Lakini sikuhizi mtoto akifika tu form 4 hana hiyo kitu kabisa.
kama room ina mbu wa kutosha basi unajiachi wakufyonze damu halafu kazi inakuwa ni kuwatumbua na kupangusia damu juu ya shuka...
Kabila letu Bikra ni LACK OF OPPORTUNITY!!!!!!!!!!!! Tena inaonesha kuwa kaka yetu hatofaidi kabisa maana amemuemploy mtu ambae ni UNQUALIFIED, LACK OF SKILLS, 0 EXPERIANCE, hivo hata performance yake kazini itakuwa chini ya viwango.