Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

kiufupi naweza sema kilichokukuta ni halali yako sababu ulimtamani mtu kisa avatar yake na comments zake yani inaonesha dhairi hukuwa na lengo naye lolote isipokuwa ni ngono tu ndio mana you have been paid this.....mwema hupata mwema kiruka hupata kiruka
 
Tangia lini wadada waliosoma huwa wazuri mkuu,? Nenda fb kuna watoto wazuri sana ,jf ni sehem ya kupata maarifa tu
 
Kweli. Ukimpenda mtu ukitaka muwe marafiki usiweke mapenzi mtadumu. Tatizo 80% ya wanaume wanakutanaga na wanawake kwa lengo la kunyanduana. Mimi nilioonana nao ilikua kwa ajili ya urafiki. Nashukuru tuko marafiki na tunaheshimiana vizuri kabisa. Waliotongozwa wakakataliwa wamekubali ukweli maisha yanasonga. Waliovumilia sura yangu mbaya wapo tuko marafiki mpaka sasa. Kikubwa ni kuangalia huyu anaandikaga nini. Kuna uhusiano mkubwa sana wa anachokiandika mtu huku kuhusu wengine na alivyo nje. Wale watu wa kudis dis kila kitu hata nje ya hapo atadia tu
Urafiki ukijengwa nje ya kingono hudumu sasa hamjuani mnaanza kunyaduana unategemea nini hapo sasa. Urafiki kwanza hatujui kesho yetu
 


Ohooo jamaa kishaliwa uroda na mwanamme mwenzake....Mkuu Gluk wanaume wa Dar wana matatizo, machoni unaona kuwa wanaume kumbe wana yao nyuma ya pazia.
 
uko sawa boss lady
 

akibisha naweka pics yake.hapaa
na kuna mwingine nilikutana naye majuzi tunagombea daladala huyu humu anajifanya wa viwangoooo kumbe chokooo
hahahahahaahahaaa kaka we unataka kutuchekesha jioni hii....basi usimalizie
 
Picha yake ya nini wakati anajiwekaga mwenyewe avatar?.. Sema saa zingine huo uviwango mnautafsiri nyie tu.

akibisha naweka pics yake.hapaa
na kuna mwingine nilikutana naye majuzi tunagombea daladala huyu humu anajifanya wa viwangoooo kumbe chokooo
 
Kweli kabisa nimewahi kuwa na urafiki na mtu zaidi ya three years tulipoanza mahusiano tumegombana kabisa kila mtu na hamsini zake sasa hivi. Urafiki ni muhimu kuliko kunyaduana aisee, mkinyaduana ni rahisi kuja kuwa maadui wa kudumu sana, ndo mana Mimi huwa sipendi mahusiano na wanaume ambao staki kuua urafiki huwa wananiuliza sana nawakwepa kumbe mi staki kuwapoteza.

Pia inabidi kabla ya kuzoeana inabidi kumchunguza MTU hata akili yake na uelewa wa mambo ukikuta mtu hafikirii nje ya box nalo ni janga lingine kubwa, mnakutana kesho yake unapata matangazo kila Mara. Mimi watu wakuzoeana nao huwachunguza kwanza maturity yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…