Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Baba Gluk pole na yaliokusibu baba, mimi nimekuelewa sana lakini usidhani uko peke yako kwenye maswahiba hayo kuna wengi yamewakumba hapa wanaugulia maumivu kimya kimya. Nawafahamu kadhaa waliwahi kuvuka hadi mikoa wengine wakipanda ma dream liner yale madege ya magufuli na mahasara kibao, wamefika wamekodi mahoteli ya gharama sana wanajiandaa kuua mtu, mtu mwenyewe anapojitokeza na kuona jinsi alivyo ni majuto makubwa....wapo. Wapo waliokwenda kupokea ugeni ubungo tena usiku mnene wakingatwa na mbu kusubiri vitamu na mwisho wakajutia sana kwa walichokiona.....wapo. Nakwambia wapo hapa. Usilie sana mkuu wapo wengi.
 
Hahaha nihatar lakini nisalamaaa me naona ili jukwaa liendee kunoga tuendeleze mafekecho tu kila mtu anaelimu kuanzia degree, kila mtu anagari kila mtu alishapanda ndege, kila mtu anaishi new York city (makonda city)
Ndio mambo ya Jeiefu, kila mtu much know humu na kujivika vyeo ni kama jadi hamna mtu ambae ana maisha ya chini ha ha ha kila mtu ana mpira na job mjini!
 
Hahahaha, aseee
 
Jamaa anaonekana kapata kamkasa kazuri sana kenye mafundisho ndani yake, ila ndio hivyo anatubania kufunguka ila hii ndio JF ipo siku utafunguka mwenyeweee
 

Una picha nimevutiwa na ww
 
Kuna wengine walijikoki mpaka kuazima gari kwakujua anaenda ubungo kupokea demu bomba waviwango vyajuuu chaajabu walichokutana nacho nikilio aisee, kuna wengine mpaka wanaingia madeni yaani wanakopa kabisa ili walale hotel nzuri ila mwisho wasiku wanakutana navituko vinavyostahili kupelekwa mbavu zambwa
 
basi na wewe ulikuwa feki mzee,ukakutana na kanyaboya....
 
Hahahaha, asee ,mnanifurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…