AiseeNdo hivo mimi sweetheart
Haaaa haaaaImagine mtu mzima na sharubu zake za juu na chini ka kambale
,ndege wafananao huruka pomoja.Binafsi nina bahati ya kukutana na wanawake wazuri wenye mashepu na elimu nzuri. Wengi ni marafiki zangu. Wapo ambao ni kama mama zangu humu ambao tunafanya nao biashara za hapa na pale. Kukutana na mwanamke mbovu hutegmea na mwanaume pia. Vitu vizuri huwaendea wazuri.
Pole
Acha kupost kwakingereza kama hujuiUr just say that bse ur not a man.first we tempted then love..i can be tempted by ur avatar then nikajenga taswira how carha look like naamua kukutokea at the end nikikuona ur away frm my imagination ndicho kilichomkuta mleta thread..
Goodgirl
Haaaa haaaashangaa jamani
ThanksI love you toto,muah! muah!
Practice makes perfect. Akiacha atajifunza vipi? Ingekuwa vizuri kama ungemsahihisha alipokosea.Acha kupost kwakingereza kama hujui
HahahahaaAsikutaje tu maana we mzuri
Hahahahahahahah uwiiiiii GlukHahaha nikimtaja humu hapatakalika ni siri yangu mkuu maana ni yeye anajiona maarufu kuliko hata mwanzilishi wa JF
wacha ninyamaze tu mkuu mana nikisema na mim ntaonekana nawaponda.