Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Hahahahaha cariha ila me ushauri wangu muwe mnaweka avator ambazo zinaendana nanyinyi bac ili siku tukikutana mshtuko wetu usiwe mkubwa hii si kwawanawake tu bali hata kwavidume, mwanaume unasura kama wasira alafu unaweka evator ya chriss brown
AAA wapi mi naweka avator inayonivutia sio mtu mwingine mwenye matamanio yake kwanza Mimi humu had nikutane na mtu sijui iweje nimekutana na wachache na hawana utoto wa kuanzisha mada za hovyo we are normal friends. So avator ni minor issue mi cjali sura sina uwezo wakuumba hata kucha as long as we can be good friends no problem. Napenda roho ya MTU
 
yame kukuta mtoto wa kiume
 
Hahahahaha cariha ila me ushauri wangu muwe mnaweka avator ambazo zinaendana nanyinyi bac ili siku tukikutana mshtuko wetu usiwe mkubwa hii si kwawanawake tu bali hata kwavidume, mwanaume unasura kama wasira alafu unaweka evator ya chriss brown
Hahahaha
 
cariha yaani haya majibu yako ndio naanza sasa kukuimage wewe upoje yaani nakuona upo good kinoma yaani unaonesha najinsi gani huna majivuno ila sasa mwisho wasiku nikikusogerea nakutana namtu tofauti kabisa, ila kama nikweli ndio maisha yako halisi bwana awe nawe!!
 
Hahahahaha cariha ila me ushauri wangu muwe mnaweka avator ambazo zinaendana nanyinyi bac ili siku tukikutana mshtuko wetu usiwe mkubwa hii si kwawanawake tu bali hata kwavidume, mwanaume unasura kama wasira alafu unaweka evator ya chriss brown
Hahahah ukiweka sura ya Wasira labda uwe mtu wa kabobo kama GuDume, vinginevyo hata likes hupati kabisa utajihisi mwenye gundu sana! Unafikiri kwa nini bwana Daby hawaishi kumshobokea, mambo ya avatar za kihensamu boi!
 
Boss,umekutana na jini nn?
 
Hahahah ukiweka sura ya Wasira labda uwe mtu wa kabobo kama Gudume, vinginevyo hata likes hupati kabisa utajihisi mwenye gundu sana!
Hahaha nihatar lakini nisalamaaa me naona ili jukwaa liendee kunoga tuendeleze mafekecho tu kila mtu anaelimu kuanzia degree, kila mtu anagari kila mtu alishapanda ndege, kila mtu anaishi new York city (makonda city)
 
Mimi Niko kawaida mkuu na maisha yangu what I comments comes from my heart no fake zone mkuu sasa wewe ukinihisi hilo ni tatizo lako, wewe ukiniona wa tofauti mi hukutana na watu wa zima na wa heshima zao mkuu. So I entertain story za mvulana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…