Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,247
- 90,429
Hahahaha, nipo kiongozi, naomba umruhusu bi Hajar tuonane ili tupige story kdg ,maudhui ya story hizo ni mambo ya soka,si unajua huyo ni mtani wangu ktk sokaMtu chake heshima yako mkubwa, upo ndugu yangu?
Hahahaa
HahahahaHahahaaa.
Wala hujakosea mtu anajileta huko kisha anangea mbovu mpaka unamshangaa huyu vipi kavimbewa maharage ya wapi ?Shida ni mtu anakuja pm then later anaeneza upuuzi wake, mjinga ka huyo unamfanyaje?
Uione Ili Iweje hafu jf ni Mtandao wakufahamiana sio kingono
Mbona umeanza na kicheko?Hahahaaa. Nimejifunza si kila Me ni wa kukurupuka tu kuzoweana naye + makubaliano ya kuonana maana inavyoonekana walio wengi wana akili za kitoto.
Sasa ukiwa umefanana sura na baba yako Samaki samaki tutaendaje?
Hahahaaaa, ombi lako limefika mkuu na linachakatwa kisha majubu yatatolewa wakati muafaka mkuuHahahaha, nipo kiongozi, naomba umruhusu bi Hajar tuonane ili tupige story kdg ,maudhui ya story hizo ni mambo ya soka,si unajua huyo ni mtani wangu ktk soka
Natumai ombi hili utalikubali ,
Just hahahaaaHahahaha
Ngono mnawaza tu jf sio site ya porn had nikutumie picha. You need pictures nenda fb na ig.. Kwanini uombe picha ya ntu jinsia tofautiWewe ndie unaewaza ngono, sio kila anaekuomba picha anawaza ngono.
Au unataka ufanye usajili mkuu kwenye ile timu yenu ya kina dada maana hata kama yupo upande mwingine siku hizi kuna kitu kinaitwa "kuunga mkono juhudi" mtu anabadilisha chama😀😀😀maudhui ya story hizo ni mambo ya soka,si unajua huyo ni mtani wangu ktk soka
Wala hujakosea mtu anajileta huko kisha anangea mbovu mpaka unamshangaa huyu vipi kavimbewa maharage ya wapi ?
Mi so ignore huo ujinga wallah dawa ya moto ni moto tu wallah.My dear ndo vile nlivyokwambia sisi tunatofautiana na unaweza siku mtu akakuchafua hata bila kukosana nae.
Cha umuhimu kwako ni kuignore wakati ukijua kua huo ni upuuzi japokua moyoni itakua tofauti.
Mamii leo umekua mkaliNgono mnawaza tu jf sio site ya porn had nikutumie picha. You need pictures nenda fb na ig.. Kwanini uombe picha ya ntu jinsia tofauti
Mamii leo umekua mkali
Nini mbaya na hawa walimwengu hahahahaHahaaaaa jamani mhhhhhh
Nini mbaya na hawa walimwengu hahahaha
Pole sana binaadam tumetofautiana.Mi so ignore huo ujinga wallah dawa ya moto ni moto tu wallah.
Sikutegemea hilo Swali ndio maana.Mbona umeanza na kicheko?
Kama ulikuwepo mkuuInachekesha sana mkuu unastruggle na dem mzee unapelkwa mchaka mchaka unatumia juhudi zako zote.
Anaingia kingi unarekebisha mambo yanaingiana.
Kuna ule msemo unaitwa subira yavuta kheri au mchumia juani hula kivulini.
Sasa mnapanga kuonana ukitaraji bidii yako leo inafanikiwa mzee unachoenda kukikuta unakemea mapepo kwanza unajilaani mpka miguu yako.