Ndo hapo sawa na mtoa maada, utakuja fungua Uzi wa majutoKwanza mim kma hujui kupika kazi sana.
Mawazo yako yako sahii na hii ni gentlemen anavyokua.Hahahaha, sasa hapo jikaze kiume,mpe ofa km ni Dinner, lunch au kinywaji ,agana nae kiroho safi,
Unakua umekufa kijerumani na Tai yako shingoni,haina haja ya kuja kushambulia huku JF na missile
Sijui lkn ni mtazamo Wangu tu
Hahahaha, asee ndio maana ,Mara nyingi huwa nachekaga zikijaga Mada km hzMawazo yako yako sahii na hii ni gentlemen anavyokua.
Ila tujiribuni kua wahalisia wa maisha yetu.
Unajua jinsi utakavyojionesha kwa mtu na ndivyo atakavyokufaham.
Sasa kma mbwembwe nyingi na hmna kitu unategemea nin? Na wengine inatokea kua hvyo kwasababu ya hasira.
Msijali lkini.Ndo hapo sawa na mtoa maada, utakuja fungua Uzi wa majuto
Sitaki tena wanawake wa jf wanaloweka,hawapiki,huku unajua akipitia huo uzi akirudi kwako,huyo wa kumpima akili
Hahahaaa. Kwa kuona nyuzi kama hizi nshayaona sana tu ila kiuhalisia bado aiseee.Najua lazima utaitikia sababu unayajua haya mambo
Hahahaaa. Kwa kuona nyuzi kama hizi nshayaona sana tu ila kiuhalisia bado aiseee.
Mie kila ninaekutana naye naona Allah kambariki yaani hawana cha kunifanya niwaone tofauti.
Hii inawezkna kwasababu jinsia zenu zinafanana na mara nyingi mnapokua wenyew kidogo mnaelewana.Hahahaaa. Kwa kuona nyuzi kama hizi nshayaona sana tu ila kiuhalisia bado aiseee.
Mie kila ninaekutana naye naona Allah kambariki yaani hawana cha kunifanya niwaone tofauti.
Asifiaye mvua imemnyesheaHabari zenu wana MMU,
Usidanganyike na mada zao.
Usidanganyike na avatar zao
Usidanganyike na swaga zao.
Usidanganyike na usomi wao.
Usidanganyike na kejeri zao humu jukwaani.
Usidanganyike na kujifanya mambo safi
Wanaoponda wanaume wafupi, mara wasio na magari mazuri.
Wengi wao ukikutana nao hutaamini kile ukionacho mbele ya macho yako.
Huyu
Acha nipambane na hawa wa kina mwajuma ndala ndefu wa huku kwetu KIMBANGULIRE.
Leo ninatubu na storudia kumpenda mtu kwa avatar yake au picha.
Camera za 360 na simu za tecno zinawapendelea sana.
Nasema hivi .
(NIMETUBU SITARUDIA)
Muwe na na siku njema.
Nakuamini Mkuu.Hahahaaa. Sasa huwezi amini jinsia yangu ni wawili tu wengine wote walikuwa ni Me.
Hahahaaa. Sasa huwezi amini jinsia yangu ni wawili tu wengine wote walikuwa ni Me.
Eti avatar ndo mtu halisi...picha zenyewe original zimeditiwa mpaka zinakosa uhalisia na bado watu wanakimbiana! Ije kuwa avatarUsirudie tena kupenda avatar mkuu.
Hapo chachaEti avatar ndo mtu halisi...picha zenyewe original zimeditiwa mpaka zinakosa uhalisia na bado watu wanakimbiana! Ije kuwa avatar
Hahahaaa. Mbona hivyo rafiki?
Hahahaaa. Changamoto ziletwe na nini?Nakuamini Mkuu.
Na ukweli ya hao uliokutana nao najua umepitia changamoto nyingi.
Bora niishie hapa au niendelee
Eti avatar ndo mtu halisi...picha zenyewe original zimeditiwa mpaka zinakosa uhalisia na bado watu wanakimbiana! Ije kuwa avatar
Hahahaaaa,Hahahaaa. Mbona hivyo rafiki?
Oooh. Sawa.Hahahaaaa,
Kuna kitu changu nimewaza tu rafiki
Nakubali hilo pia.Hahahaaa. Changamoto ziletwe na nini?
Labda niseme sijakutana na mtu kwa ajili ya hizo mambo za kutongozana zaidi ya kuheshimiana na kuwa marafiki wengine ndipo ni ndugu kabisaaa.