Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,251
- 90,445
Hahahaha, ila dharau tu sio nzuri kwa yoyote yule,uwe unamjua au humjui ,km mlionana na hkn aliyemvutia mwenzie ,si mna uchuna tu kimya kimya,maisha yanaenda, haina haja ya kudharaulianaNdo maana ukiwa na adabh huku unabishana kwa step. Sio mtu kakupa tusi na wewe unarudisha tusi siku mkijuana ni ********. Kuna wengine hizi fake Id na avatar zinawapa ujasiri wa kudharau yeyote yule.
Kweli kabisa maana uwezi jua unayemtolea povu ninani kwako yawezekana hata baba mchungaji wako uliyetoka kwake mda sio mrefu kumpigia magoti akuombee msamaha kwammeo/mkeoNdo maana ukiwa na adabh huku unabishana kwa step. Sio mtu kakupa tusi na wewe unarudisha tusi siku mkijuana ni ********. Kuna wengine hizi fake Id na avatar zinawapa ujasiri wa kudharau yeyote yule.
Msemakweli mpenzi wa Mungumimi natongoza bado mkuu,ila siku ya kukutana lazma nijifiche chobingo niangalie aina ya mtu anayekuja kama simuelewielewi natoa betri kwenye simu napotea hanioni tena,nimeshafanya hivyo kwa mafanikio zaidi ya mara 3
Hahaha nihatar lakini nisalamaaa niuzwazwa kukaa nakufikiria kuwa watu waliomo JF sio hao tulionao kitaaHahahaha, ila dharau tu sio nzuri kwa yoyote yule,uwe unamjua au humjui ,km mlionana na hkn aliyemvutia mwenzie ,si mna uchuna tu kimya kimya,maisha yanaenda, haina haja ya kudharauliana
Watu wanayaangusha matusi kama hawana akili nzuriNdo maana ukiwa na adabh huku unabishana kwa step. Sio mtu kakupa tusi na wewe unarudisha tusi siku mkijuana ni ********. Kuna wengine hizi fake Id na avatar zinawapa ujasiri wa kudharau yeyote yule.
Ukiwa mpenda madiko diko,unatamani kwa avatar unazama pm unajua chef si ndo huyu sasaKwanza hapo kwenye mapishi hhhhh kuna kazi kweli.
Hahahaha, huwa naonaga humu watu wanajibu MTU kwa dharau na mbwembwe,hakujui wala humjui, mby wengine chini chini lkn wako vzr ktk mipango yao ,tutashindwa kupeana line kwa hz dharauHahaha nihatar lakini nisalamaaa niuzwazwa kukaa nakufikiria kuwa watu waliomo JF sio hao tulionao kitaa
Kumbe mwenzie ameona shangazi kakaa vizuri kachukua picha ya mguu wa shangazi huhuhuAkiona hyo miguu hapo lazima aje pm...
Sura ata mbuzi anayo enhee ππWengine miguu ndio ugonjwa wetu na tumeiwekea session yake kabisa..sura kitu gani bana,
Kabisa mkuuHahahaha, huwa naonaga humu watu wanajibu MTU kwa dharau na mbwembwe,hakujui wala humjui, mby wengine chini chini lkn wako vzr ktk mipango yao ,tutashindwa kupeana line kwa hz dharau
HahahaKweli kabisa maana uwezi jua unayemtolea povu ninani kwako yawezekana hata baba mchungaji wako uliyetoka kwake mda sio mrefu kumpigia magoti akuombee msamaha kwammeo/mkeo
Akija anakutana natembelea mikono hihiiiiii πππKumbe mwenzie ameona shangazi kakaa vizuri kachukua picha ya mguu wa shangazi huhuhu
Mkuu naomba nipe lina maisha yamenitandika sanaa!Hahahaha, huwa naonaga humu watu wanajibu MTU kwa dharau na mbwembwe,hakujui wala humjui, mby wengine chini chini lkn wako vzr ktk mipango yao ,tutashindwa kupeana line kwa hz dharau
Ndio ndio...cha umuhimu puchi,Sura ata mbuzi anayo enhee ππ
Basi msilalamike unataka kizuri umba chako au unaenda kwa madanguro ila humu JF mtaishia kulalamika maana hili ni jukwaa la watu na sio sehemu ya kutafta ma miss world
Inachekesha sana mkuu unastruggle na dem mzee unapelkwa mchaka mchaka unatumia juhudi zako zote.Hahahaha, ila dharau tu sio nzuri kwa yoyote yule,uwe unamjua au humjui ,km mlionana na hkn aliyemvutia mwenzie ,si mna uchuna tu kimya kimya,maisha yanaenda, haina haja ya kudharauliana
Kwanza mim kma hujui kupika kazi sana.Ukiwa mpenda madiko diko,unatamani kwa avatar unazama pm unajua chef si ndo huyu sasa
Haha kumbe mhhhh!!!!
Hahahaha, sasa hapo jikaze kiume,mpe ofa km ni Dinner, lunch au kinywaji ,agana nae kiroho safi,Inachekesha sana mkuu unastruggle na dem mzee unapelkwa mchaka mchaka unatumia juhudi zako zote.
Anaingia kingi unarekebisha mambo yanaingiana.
Kuna ule msemo unaitwa subira yavuta kheri au mchumia juani hula kivulini.
Sasa mnapanga kuonana ukitaraji bidii yako leo inafanikiwa mzee unachoenda kukikuta unakemea mapepo kwanza unajilaani mpka miguu yako.
Ndo hapo sawa na mtoa maada, utakuja fungua Uzi wa majutoKwanza mim kma hujui kupika kazi sana.