Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

....tubadilishane basi mkuu! Mi sina mamlaka nayo
Hahaha hiyo hainifai bana labda niambie unapenda nini au unatamani nini ili namimi niweke kama avator yangu ili tuwe tunatamanishana wote maana haiwezekani me niwe kila siku nakutamani wewe ila wewe hata wazo na avator yangu huna ukiiona hata ulowani bana
 
Haha haha huhuhuh
Jamani mwee hahahaha
Daaah!

Kwahiyo mkuu uliangalia avatar,sasa kama kwangu ukiona avatar za misosi unahic huyu huyu anaonekana anajua kupika

Kumbe hata wali napika boko,ugali mbichi kila siku,samaki naweka mchuzi mwingi mpaka wanafufuka wanaanza kuogelea kwenye mchuzi

Hahahah,acha nicheke tu
Pole mkuu.
 
 
Kwanza hapo kwenye mapishi hhhhh kuna kazi kweli.
 
nn tatzo jamn
 
Hahahaaaaa. Nimejikuta nakuelewa tu Sesten nitafanya hivyo.

Ila pia nimecheka hivi mie na gym wapi na wapi jamaani.
Hahahaha, ondoa shaka Mkuu Hajar atakua ktk mikono yangu salama kabisa ,nawe pia unakaribishwa siku hy km hutojali
 
mimi natongoza bado mkuu,ila siku ya kukutana lazma nijifiche chobingo niangalie aina ya mtu anayekuja kama simuelewielewi natoa betri kwenye simu napotea hanioni tena,nimeshafanya hivyo kwa mafanikio zaidi ya mara 3
 
Hahahhaahhaaaaaaa πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Haya mzee kulikoni?
 
Ndo maana ukiwa na adabh huku unabishana kwa step. Sio mtu kakupa tusi na wewe unarudisha tusi siku mkijuana ni baba ako. Kuna wengine hizi fake Id na avatar zinawapa ujasiri wa kudharau yeyote yule.
Hahaha ila kweli aisee JF bana humu kuna watu wanatoleana mapovu mpaka nawazee wao mpaka kutongozana hivyo hivyo, naushauri hivyo hivyo unatoa ushauri kumbe unamshauri baba yako au mama yako mambo ya fake id hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…