Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Hahahahaha cariha ila me ushauri wangu muwe mnaweka avator ambazo zinaendana nanyinyi bac ili siku tukikutana mshtuko wetu usiwe mkubwa hii si kwawanawake tu bali hata kwavidume, mwanaume unasura kama wasira alafu unaweka evator ya chriss brown
jamani
 
Hahahaha, km kweli unafanana na hy avatar ,basi unastahili sifa zote
 
Wow! Umenifanya niiangalie avatar yako kwa mara nyingine
 
Ni bora hata muwe mnaweka vitu vingine hatatu sura ya image ya kondoo, ila mnavyoweka za kina amber rose mnadraw attention zetu na personalization ni kosa tutawapeleka mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…