Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

We mama utakuwa garasa halafu mashauzi kama yote

jikubali tu usijipe usivyonavyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...na huwezi kuwa mzuri ukajitangaza! Wazuri hawajitangazagi wala kuweka mabango!...lazima kutakuwa na kasoro inayokutuma kujishow off!
Irish descent tu mkuu, lazima mtu afanye imagination tu asee[emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]
 
Inawezekana pia
Ujumbe tumeupata.. ndo maana mimi sitaki kuwakonfyuz wapenzi watazamaji naweka avatar yangu au ninayo fanana nayo siku hizi. Niliweka avatar ya mdada mweusi siku mtu kaniona akaniambia alijua na mimi nitakua mweusi kama ile avatar. Nikasema sasa yale mambo ya kuwaaminisha watu mimo beyonce kumbe ebitoke yaishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…