Ur correct vtu vingine ni kuvimezea tu wallahNaogopa kumsema mtu kwa sura yake saana naona kama namdhalilisha.
Mfano kama nimekutana na mwanamke humu hata kama nimboovu...akinitumia picha namsifia tena saana.
Hakuna jambo mbaya kama kumwqmbia mtu u mbaya.
Itamuuma.
Wenye kuelewa wameelewa vilaza ndo wamenuna hasa hasa magarasa kama nawaonaHuu ni ukweli mchingu ujue Haya girl
Kisu labda yule mjukuu wako, kidogo alikuwa kisu ila naye malingo yake huku Jf hayakuendana na maisha yake halisi.
Nadhan amejifunza
We nakuelewaga sana huna porojo za kipuuzi penye A unasema A
Tunakutana lini nasie?
....hata mi nakukubali shost, hunaga usnitch wa kisolo!..
Amepotea saana aiseeh.Kisu labda yule mjukuu wako, kidogo alikuwa kisu ila naye malingo yake huku Jf hayakuendana na maisha yake halisi.
Hahahaha, Mimi hapana aseeEeeh. Na nyie mlivyo laini sasa. Avatar kali tu mtu anafall in love. Kumbeeeeeeeee..
HaaahaaaaMtainywa tu mnatega watu na viavatar vyenu uchwara wanategemea kukutana na vyombo kumbe kina amber ruty tu ....putuuu
khaaa.Ha ha ha haaaaa
Tutakutana bila kujuana huyu ni Daby ama mimi ni Cocochanel.. Milima haikutani...
Naogopa kumsema mtu kwa sura yake saana naona kama namdhalilisha.
Mfano kama nimekutana na mwanamke humu hata kama nimboovu...akinitumia picha namsifia tena saana.
Hakuna jambo mbaya kama kumwqmbia mtu u mbaya.
Itamuuma.
Kuna watu wanakuambia tena kavu kavu.Akiii siku mtu akiniambia hivi naweza kufa. Mwenyewe najiona queen (natania jamani) mara paap mtu aniambie sura yangu mbaya.
Hadi point hii ashajulikana... Watu wanambwembwe, kizuri chajiuza kibaya lazima kijizururishe
Kuna watu wanakuambia tena kavu kavu.
Ila wewe mzuri! ?
Nadhani ww ni mmoja y wachache walionielew. Majigambo hayafaiHapo hata mimi naungana na mtoa mada. Kwanini uwekw avatar ya kuvutia wakati hufanani nayo hata kidogo. Halafu ukianza kuponda wanaume sasa. Watu wakiangalia avatar na majigambo wanajua hiki kisu. Kumbe panga butu
Nimeuliza.Hao wauaji aisee.. bora unisifiie vya uongo kuliko kunichana ukweli.
Mzuri nani?
Hahahaha, Mimi hapana asee
Ofcourse si busara kumuongelea mtu usoni kuwa ye ni hajakuvutia, maana kiuhalisia amna mtu mbaya!Naogopa kumsema mtu kwa sura yake saana naona kama namdhalilisha.
Mfano kama nimekutana na mwanamke humu hata kama nimboovu...akinitumia picha namsifia tena saana.
Hakuna jambo mbaya kama kumwqmbia mtu u mbaya.
Itamuuma.