Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Wacha we!
 
...pole jamani

Ukuje kule sebuleni uniambie angalau herufi tatu za avatar yake
 
Umeumizwa sana eeh? Au uligharamia sana ukajua unagharamia chombo kumbe hamna kitu? Siku moja moja hasara zipo mkuu.
Komaa na unaowaona mtaani tu mzee baba. Huku ni pata potea
Wala sitohitaji kuonana na jinsia ya kike kutoka mtandaoni kama mazoea yaishie humu basi.
 
Doooooooooh
 
Hahahah ukiweka sura ya Wasira labda uwe mtu wa kabobo kama GuDume, vinginevyo hata likes hupati kabisa utajihisi mwenye gundu sana! Unafikiri kwa nini bwana Daby hawaishi kumshobokea, mambo ya avatar za kihensamu boi!
Hahaha....naona mmetoka kwa wanawake mnatusena na sisi.
 
Eeeeh Lahaulaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…