Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Mwandiko mbona wa kiume halafu ID ya kike?
 
Ahaaahaaa
.....sindano si sindano, dozi si dozi!

Bidada umeua!
 
Ha ha ha ha kwahio we ulivyoona jina cutelicious na avatar ya christina milian ukajua mtoto kisu au sio? Humu baadhi ya wachumba ni jau hadi kidume unaweza mkimbiza kwa muonekano yani! wengi wana mikwara na avatar za mastaa na mizigo mizigo hivi,
Mbona huku kuna watoto mkuu? visu hatari wanavyolipa hawakopeshi.
 
Wala sitohitaji kuonana na jinsia ya kike kutoka mtandaoni kama mazoea yaishie humu basi.
 
Kwanini ukimbie mkuu, vtu vingine huwa ni changamsha genge Mimi husoma comments za MTU na kupata maarifa ya appearance, sijui nimuwazie yuko vzuri kiuchumi huwa siyapi nafasi
shida wanajifanya sanaa viwango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…