Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Basi hata herufi za mwanzo tutaunga dots wenyewe (natania)
Hahaha nikimtaja humu hapatakalika ni siri yangu mkuu maana ni yeye anajiona maarufu kuliko hata mwanzilishi wa JF
 
Sasa si uweke sura yako halisi ili watu wakujue ulivo kuliko kubabaisha na avator za uongo
Huu mtandao tunatumia fake identity sasa ukileta ya huko nje hujui ni kutoka lengo la forum. Nikitaka kuweka hvo nitakuwa verified user
 
Nimekuelewa unachomanisha ila utata unaibuka pale ambapo mtu huyo ni mtu wa kuponda wanaume mara wako hivi, utasikia mara hapendi wafupi mara wa aina fulan au hadhi fulani kwahyo unapoenda kukutana nae unaenda kwa matarajio ya kukutana na bonge la mwanamke mwenye IQ kubwa kumbe daah acha niishie hapa
 
Hahahaha, asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…