Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Hahahaha, raha ya kibuti ukikubali ndio kinapendeza
 
kuna Yule anajiita Madame B daah aseee .ukija kumwona daaah waweza kimbia
Kwanini ukimbie mkuu, vtu vingine huwa ni changamsha genge Mimi husoma comments za MTU na kupata maarifa ya appearance, sijui nimuwazie yuko vzuri kiuchumi huwa siyapi nafasi
 
Sasa si uweke sura yako halisi ili watu wakujue ulivo kuliko kubabaisha na avator za uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…