Majuto Katika Mapenzi

Majuto Katika Mapenzi

Qassim14

Senior Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
182
Reaction score
203
alaumiwe baba yetu adam kwa kukubali kula tunda na kumkiuka muumba wake.

hivi ni tukio gani hutokuja kulisahau katika maisha yako kuhusiana na mapenzi?

mimi binafsi nilishawahi kuigiza nimezmia mbele ya kadamnasi na nilifanikiwa maana baada ya tukio hilo nikakubaliwa na lupewa tunda [emoji39]

nawasilisha mada.
 
usaliti na kutoswa kisa sina chapaa ' Mapene' 'mavumba' 'mkwanja' 'ngawira' 'chambichambi' 'noti' 'shilingi' 'pesa' 'hela' 'fedha'
 
Mimi najutia pale niliposomesha mpenzi chuo kikuu ,,mwisho wa siku yule mrembo akawa hapokei calls zangu wala hajibu sms ,,niliposumbuwa sana kwa simu likapokea DUME na kunijibu kwann nakuwa msumbufu na mchumba wa mtu? kama hutakiwi ni lazima kupendwa? aisee hadi leo mm sisomeshi mpenzi....kila nikiangalia bank slip za CRDB ....nilizokuwa namtumia pesa roho inauma sana .....najutia mapenzi
 
Sjawahi kujuta kisa mapenzi lolote linalotokea huw nachukulia ni somo kwangu ...hii imenifanya kuw strong muda wowote napokutan na dhoruba..
 
Aiseee... Tukio nisilolisahau kuhusiana na mapenzi ni kwenye ile movie ya love story ya YNA na ANGELO.....
 
Back
Top Bottom