johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,976
Naibu Katibu mkuu wa Tucta ndugu Majura amesema wakati wanajadili kanuni za sheria ya mafao Waziri Jenister Mhagama alionyesha wasiwasi wake kwamba kama kikokotoo cha mafao hakitarekebishwa basi mifuko hiyo itakufa hivyo ni lazima ziwepo kanuni zitakazomantain sustainability ya mifuko hiyo.
Johnthebaptist najiuliza ni nini kinachoweza kuiua mifuko ya kijamii ilhali wanachama wanachangia kila uchwao?!!
Source ITV!
Johnthebaptist najiuliza ni nini kinachoweza kuiua mifuko ya kijamii ilhali wanachama wanachangia kila uchwao?!!
Source ITV!