Majungu ofisini....surviving

Majungu ofisini....surviving

Kuna sababu tofauti tofauti zinazosababisha watu wapike majungu
mojawapo ni kuwa inwezekena wanaokupigia majungu 'hawakufahamu vizuri'
wanakuchukulia poa
so sometimes kuwa invite a bit in your life inasaidia kuwa neutralize
mfano watu wanakuona labda una shida sana na hiyo kazi,kumbe wewe uko vizuuri mno na unaweza kuishi bila hata hiyo kazi
watu dizaini hii unatakiwa siku moja unawaalika hata kwenye 'sherehe za kwenu'
akupate pate wewe ni nani na it helps kwa wengine...

But the best way ya ku deal na majungu ni kutumia formula inaitwa
'Ninaongea na mwenye mbwa' siongei na mbwa'

wewe una deal na Boss personally...unamsoma weakness zake
unajua his fears,his plans..na wewe unajitahidi unaakuwa 'mtu wa yeye kukutegemea'
sio wewe umtegemee.....huku wapika majungu una deal nao kimya kimya
kwa kuwapiga vita bila kuongea kitu...

Hawa watu siwezi socialize nao nje ya kazi maana status zetu ni tofauti sana, niliameamua kumfuata huyo Boss wa mbwa ambae sidhani ni mtu mbaya, unajua mambo ya e-mail hata kwenye cc simweki sometimes, it helped to some extent lakini siwezi kuacha kudeal nae kabisa kikazi.

Asante kwa hili
 
Hawa watu siwezi socialize nao nje ya kazi maana status zetu ni tofauti sana, niliameamua kumfuata huyo Boss wa mbwa ambae sidhani ni mtu mbaya, unajua mambo ya e-mail hata kwenye cc simweki sometimes, it helped to some extent lakini siwezi kuacha kudeal nae kabisa kikazi.

Asante kwa hili

Hapo ndo unapokosea
huhitaji ku socialize nao
unatakiwa uwakaribishe japo siku moja ili 'watambue ' hiyo 'status' yako
wakuogope au wakuheshimu hata kama hawakupendi...mfano una 'Harusi ya familia'
unawaalika wote...so huto socialize nao but wataona 'status yako haswaa ikoje'
jinsi watu wengine wanavyokuheshimu na kukufagilia...itawafanya wafikiri mara mbili next time wana jungu la kupika

Na huyo Boss unatakiwa u deal nae personally hasa umfanye akutegemee kikazi
hata usipokuwepo pengo lako lionekane....
sometimes watu hupika majungu sababu wanaona unawadharau na kujiona
hata kama sio hivyo...wao inferior complex inawasumbua..so onesha a little bit ya kama unawaona

chukulia mfano we ni Queen...ukimpa sifa hata a servant anajisikia vizuri kuliko kum shut out kabisa kwenye life yako

jiulize why wafalme walikuwa wana invite watu wa status tofauti kwenye ma palace?
watu wengine wanataka tu attention na kuwa included tu baasi...majungu yatapotea kuliko kuwadharau moja kwa moja..
 
i know you hate ur step mom.

Jitanue mwaya, mis siku hizi sina wa kupika majungu ofisini, najitanua hadi nakaribia kuchanika msamba.

I hate my step mother! Kwa nini akili yako fupi kama yangu yaani? Leo mwenzio mpika jungu hajakuja kwa ofisi. Najitanua tu mie hehehe.
 
Back
Top Bottom