Majumba ya kifahari

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
421
Reaction score
92
Mwenye picha za majumba ya kifahari yaliyopo bongo azirushe hapa. Zaweza kuwa za ndani au nje, jikoni, bavuni, sebuleni, canopy zake, mapaaa, garden, design ya tiles zake, sweeming pools, etc. Zitatusaidia kuigizia katika ujenzi.
 
Manji's home in Upanga DSM

Photos deleted
 
Last edited:
Belinda,
Mimi mbona naziona hapa au? Naona Game Theory, Swabiri na Muntesa wako hapa jamani na nyinyi hamzioni picha?

Kwakweli sijaziona na nimesubiri mpaka mtu mwingine aangalie na kujibu, mkuu Obhusegwe nae hajaona kama alivyoandika hapo juu..
Ziweke tena mkuu!
 
Tukishaweza hizo picha za majumba ya kifahari ndio iweje?
 
Huyu mtu katupa link directly kutoka kwenye email yake ya yahoo, bila ya kujua kuwa kwa sababu picha zipo katika email iliyo password protected hatuwezi kuziona.

Siku zingine utatoa link za email washashi wataingia mpaka kwenye inbox yako mwanangu.

Download hizo pics kwenye computer yako, halafu zi upload hapa.Usiniambie hujui kudownload utadownload vipi na ku upload uta upload vipi.
 
Sintoshangaa kama mhusika katuwekea picha za nyumba inayosemekana ni ya Gen. Musharraf, miaka miwili nyuma kulikuwa na email inazunguka sana kila mtu anaweka kichwa chake cha habari kadri anavyojisikia wengine walisema ni ya Marehemu Daudi Balali (iko Belgium) wengine wakadai ni ya Manji na wameiona kwa macho yao hapo Upanga.




Picha zaidi ziko hapa

Thread ambayo ilijadiliwa iko hapa
 
Sintoshangaa kama mhusika katuwekea picha za nyumba inayosemekana ni ya Gen. Musharraf, miaka miwili nyuma kulikuwa na email inazunguka sana kila mtu anaweka kichwa chake cha habari.

Aisee,
Kumbe jamaa walikuwa wanatudanganya! Sikujua hilo, nilidhani ni kweli. Am so sorry for that.
Basi tena nazifuta hapa.
 
Nilidhani mimi tu. Mkuu picha hazionekani, navinjari kwa simu sasa hivi labda nitajaribu kwa computer kesho. Wakati mwenye majumba zaidi aturushie, mie naahidi pia kuwatumia kesho.
 
Bado nasubiri picha za majumba ya kifahari Bongo. Mwenye kamera anzieni pale Mikocheni halafu nenda na hiyo barabara inayopitia kwa Mwalimu mpaka inapounganika na Morogoro rd. Kuna nyumba nzuri tu kule.
 
Bado nasubiri picha za majumba ya kifahari Bongo. Mwenye kamera anzieni pale Mikocheni halafu nenda na hiyo barabara inayopitia kwa Mwalimu mpaka inapounganika na Morogoro rd. Kuna nyumba nzuri tu kule.

Bado sijajibiwa swali, tukishaweka hizo picha za majumba ya kifahari ndio inakuwaje? Hamkawii kuwekewa majumba yenu au ya ndugu zenu ikawa mzozo mimi simo lol.
 
Mkuu Eqlyps nimezikubali .... haya ndio majumba, ngoja niaze kudondosha shilingi moja mpja kwenye kibaba, mwishoni najua nitatengeneza vitu kama hivi!!1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…