Birdman
Member
- Oct 31, 2012
- 79
- 24
Heshima zenu jamani, post ya kwanza hii, waungwana leteni busara zenu.
Katika jamii yetu ya sasa wanaume wengi wanaugulia kimya kimya kwa ajili ya mapungufu katika ndoa zao (zetu). Mara tu mama anapojifungua, watoto waja na baraka zao, kisha house maid na balaa zake. Mwisho wa mahaba - ofkoz mpaka watoto wakue wahamie chumbani kwao, na mwisho wa huduma za mama. Wanaume wavumilivu, lakini, kuna yale yasiyotakiwa. Msichana wa kazi anaruhusiwa kweli kuandaa chakula cha baba mwenye nyumba wakati mama yupo?? Ni yapi hasa wandugu - mchango wenu sasa, yasiyokubalika katika jamii ya kiafrika kumhudumia mzee wa nyumba. Mi nadhani kuuliza eti baba unakula nini leo, kuandaa chakula mezani, kutayarisha nguo za ndani, kuorodhesha mahitaji ya kila siku...jamani tafadhali changieni.