Majukumu ya kile kinachoitwa wage board | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majukumu ya kile kinachoitwa wage board

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kamkoda, Sep 21, 2012.

 1. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wadau!

  Katika miaka ya hivi karibuni ilianzishwa bodi kwa ajili ya kuangalia mishahara sekta mbalimbali hapa nchini na kazi yao ya kwanza ilikuwa mwaka 2010. Tokea kipindi hicho mpaka leo mbali na mfumuko wa bei kuwa katika asilimia kubwa sana wamekaa kimya mno, hivi bodi hii ipo? ama ndio yale yale...!
   
Loading...