Majukumu ya JWTZ (TPDF)

Maswi

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
932
211
Majukumu ya JWTZ

JWTZ lilianzishwa tarehe 01 Septemba, 1964 likiwa na lengo la kulinda uhuru, na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
JWTZ lina majukumu yafuatayo:
a. Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
images
images
images

b. Ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

nyerere_with_his_generals_on_amini_invasion.jpg

Wakijadili jambo na General kuhusu vita ya Iddi Amini Dada
Kufanya mafunzo na mazoezi ili kujiweka tayari kivita wakati wote.

jw.jpg

1.JPG

d. Kufundisha umma shughuli za ulinzi wa Taifa.

images
imagese. Kushirikiana na mamlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa.

images
9k=
Z

f. Kutoa huduma mbalimbali za kijamii.
images
images
9k=

g. Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji mali kupitia Jeshi la Kujenga Taifa.
images
images
Z

h. Kushiriki ulinzi wa amani kimataifa
images
images
9k=
 
2013 CCM wamebadilisha malengo ya Jeshi letu la wananchi, badla ya kulinda usalama wa nchi na mipaka yake, sasa imekuwa hivi.

View attachment 99412

Pinda et al. (2013)
 
halafu kagame analeta kidomo domo....mkuu moshedayan idara yako hii njoo tupe mambo.
 
halafu kagame analeta kidomo domo....mkuu moshedayan idara yako hii njoo tupe mambo.
Haha kwani uandhani wale askari wake ni wacheza Ready?Si JWTZ walikuwa wakifanya ukufunzi kwa wakongomani?,,mbona hakuna mabadiliko hadi walaimu kutakiwa kwenda?

Ktk vita kuna mara si tuu mafunzo na vifaa..ila kuna mambo km ethics na rafu zichezwazo....Unapopigana na Rwanda akaamua kuletea "Rebels zaidi" yaani askari watakaopigana "..Unconventional wars....".Yaani yeye atapiga mabomu km ya watanzania kwa upande wa kongo ili kutuchonganisha na waasi ili nao wapate gia ya kuingilia.Wakati yeye anapigana "VIta ya kisheria".

Umeshaona mtu anaingia ktk "box" na mjeledi refa anatoka nduki.Ila ukimuua ni soo na ukimwacha ni soo.
 
Hawawezi tupo vizuri idara zote.
KAMANDI YA NCHI KAVU, KAMANDI YA WANAMAJI na
KAMANDI YA ANGA
 
Hii picha si ya TPDF wame u crop toka picha flani ilikuwa humu humu kwenye mitandao. Ni ya majeshi ya ECOWAS -Africa ya magharibi wakati yanapamvana na waasi wa Siera Leane//Liberia! Tusidanganyane kiasi hiko!

2013 CCM wamebadilisha malengo ya Jeshi letu la wananchi, badla ya kulinda usalama wa nchi na mipaka yake, sasa imekuwa hivi.

View attachment 99412

Pinda et al. (2013)
 
Hii picha si ya TPDF wame u crop toka picha flani ilikuwa humu humu kwenye mitandao. Ni ya majeshi ya ECOWAS -Africa ya magharibi wakati yanapamvana na waasi wa Siera Leane//Liberia! Tusidanganyane kiasi hiko!

Asante kwa taarifa mkuu.
 
Jamii lazma itambue waz ukwel kuhs mustakabal wa nchi yetu kwan naona viongoz wetu wamegeuka kuw vibaraka wa watu fulan kwa maslah ya watu wachache na familia zao
 
Jamii lazma itambue waz ukwel kuhs mustakabal wa nchi yetu kwan naona viongoz wetu wamegeuka kuw vibaraka wa watu fulan kwa maslah ya watu wachache na familia zao
goldenson nchii hii ulinzi wake upo makini muda wote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom