Majonzi, huzuni,kisa hisia

Majonzi, huzuni,kisa hisia

prof.mutunga

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
341
Reaction score
60
Mwanzoni tokea nimekuwa na mke wangu nlikuwa namtamani kila mda ila tokea last week hata akinigusa sihisi chochote je hili lasababishwa na nn?wakuu mana anajiskia vibaya as if mie nimepata mwingine tulkuwa tuki do kila siku but sku hiz umh!
 
Naombeni ushauri ili niweze rudi ktk hali ya awali nampenda mke wangu sitaki kumsaliti
 
mi naona mbadilishe mandhari ya penzi lenu......muwe/uwe mbunifu wa kitu kipya mara kwa mara........kila siku hapo hapo......ratiba ile ile.....inakuboa bila wewe kujijua........nadhani........
 
  • Thanks
Reactions: BAK
++
Ukitimiza ushauri wa Preta basi mwambie aende kwao kwa muda.
Ili ummiss,,kila siku yeye tu,,hata akili inakosa upya.
Walioweka likizo sio wajinga.
++
 
Last edited by a moderator:
duh hii ngumu kumesa...................................mmoja aombe likizo atokomee kusikojulikana, mpeane space kama ulivyshauriwa hapo juu
 
DIMINISHING MARGINAL UTILITY IS INEVITABLE!!!!!!!!!!! Ceteirs paribus With each extra unit of the same product you consume the marginal utility goes down till 0 to negative (Divorce).

Hapa ishu ya TECHNOLOGICAL INVOVATION inapohusika sasa.

Si maneno yangu mie bali Scholars wa zamani!!!!!!!!!!!!!!
 
mi naona mbadilishe mandhari ya penzi lenu......muwe/uwe mbunifu wa kitu kipya mara kwa mara........kila siku hapo hapo......ratiba ile ile.....inakuboa bila wewe kujijua........nadhani........

ni kweli,mapenz n ubunifu na sio mazoea
 
duh hii ngumu kumesa...................................mmoja aombe likizo atokomee kusikojulikana, mpeane space kama ulivyshauriwa hapo juu

hapana ntakuwa sijamtendea haki i hope thngs would change
 
prof.mutunga umesema mlikuwa mna du kila siku, huoni hata hilo pekee ni tatizo moja wapo.

Kingine angalia usikute mkeo mjamzito, hii huwa inaweza kutokea kwa mmoja wa wanandoa kumchukia mwenzake, unasemaje kuhusu hilo la mimba.
 
Last edited by a moderator:
na ww ulizidi,unadu nae kila siku!jamani hata mashine huwa zinapumzishwa! haya jikarabati kisaikolojia ummiss km ulivyoshauriwa hapo juu utamtamani upya!hivi hujui hata ubunifu mpya anakosa zoote kashakupa atabuni saa ngapi pozi jipya,utaacha kumkinai ghafla!
 
hapana ntakuwa sijamtendea haki i hope thngs would change
havitachange kama kisaikolojia humhusudu mwenzi wako,mnapopeana space unammiss kwa vitu vingi,au mnaweza kuingia gharama kwa mara moja si mbaya mkaenda sehemu zenye mandhari mazuri na tulivu mkakumbushia enzi zenu...........
 
Asnam
Naona huyu tayari ana majibu ya msongo wake,,Mambo vp lakini?
++
 
Last edited by a moderator:
Nakushauri uende kwa docta akusaidie kukushauri kisaikolojia yaelekea kuwa umeathirika kisaikolojia
mwanzoni tokea nimekuwa na mke wangu nlikuwa namtamani kila mda ila tokea last week hata akinigusa sihisi chochote je hili lasababishwa na nn?wakuu mana anajiskia vibaya as if mie nimepata mwingine tulkuwa tuki do kila siku but sku hiz umh!
 
ULICHOKIFANYA NDUGU SI KIZURI ILA ASANTE ila karibu kesho kwenye tamasha pale kinondoni mkwajuni chicco
 
Last edited by a moderator:
Last week tu umeshaanza kuomba ushauri? Ngoja upoteze feekings mwaka mzima ndo utajua maharagwe ni mboga ya serikali!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom