KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
kalaghabao..... Ushamba uonimeona title nikajua majoka wanyama nikaingia nikichungulia kwa jicho moja maana naogopa hawa viumbe hata kwenye picha tu....kumbe ni utaratibu wa kucheza....hiyo inafaa kama huna kitambi na manyama uzembe
Acha bana mimi siwapendi kabisa hawa viumbe......hapa nasikia mwili unasisimka mpaka kwenye moyo
kalaghabao..... Ushamba uo
Hehehehehee hapo uvunguni mwa kitanda chako kuna bonge moja la reticulated python....litakumeza leo. hihihihihihihhhhh
Preta, 86? height? Ulikua na ngapi kabla hujaanza?nilishaanza na nina kilo 86.....
Preta, 86? height? Ulikua na ngapi kabla hujaanza?
Mi picha yako kichwani mwangu ni kama avatar yako. lol
Cardio unafanya?
Hahahahaha, ni ngumu sana kuamini...ukiniona dear utakimbia....hapo hizo kilo nimepungua sana....hivi sasa ndio nataka kutoa kitambi....karibu kinafika magotini.....
nikifanya hiyo nitapata six pack abs....?
Do you have six pack abs Mr. Coleman?Oooooh yeeeeeah
nilishaanza na nina kilo 86.....
nikifanya hiyo nitapata six pack abs....?
ukiniona dear utakimbia....hapo hizo kilo nimepungua sana....hivi sasa ndio nataka kutoa kitambi....karibu kinafika magotini....
mh.......
kwakua mimi ninazo wewe pungua
ili tuwe na uwiano sawa
aaay bebii.......kumbe zipo eeeh....basi naongeza kilo niwe na 90...
Mpwa hata miaka ya 1980's bugaluu na laison zilianza kupungua, miaka ya tisini ndo mokasini zilianza kupamba moto, ukiongeza na ile mikoba ya montana! Miaka 2000 - 2010 kwa hiyo picha nakubishiaMhh hayo majoka ni ya miaka hiyo ya 2000 na kuendelea,sijaona bugaluu wala laison,sijaona afro hapo!! Hayo ni majoka ya siku hizi tu btn 2000-2010 si ya zamani kabisa!
Hiyo ni style ya Nkende. Ilikuwa maarufu sana huko BK.kweli ni majoka......najiuliza huyo dada aliyenyanyua mguu juu.....sijui ndio style gani.....