Benno...Ukurasa wa 20 gazeti la majira leo. Limeweka wazi ule mkakati wa matangazo. Soma upate kujifunza kama kijana wa jf unayetarajia kuingia kwenye hatua hii
Benno...
this post is very low, yaani umeandika ukiwa very short sighted... unadhani kila mtu anakaa ulipo?? au ana access ya kila info??
Dah, i hope this was just a
Lizzy,MTM chukua gazeti basi hapo mtaani utuambie Benno alichoshindwa kutuambia....!
Ukurasa wa 20 gazeti la majira leo. Limeweka wazi ule mkakati wa matangazo. Soma upate kujifunza kama kijana wa jf unayetarajia kuingia kwenye hatua hii
Lizzy,
Nipo kimanzi siku ya pili leo nalima serikali wanataka kuchukua udongo wangu, yani hata vocha ya email nimeomba kwa rafiki
si ndio maana nikaboreka na benno, yaani anadhani wote twaishi saigoni
Hujatenda haki sisi wa mpitimbi gazeti tutatoa wapi?! Tuwekee bana
Ukurasa wa 20 gazeti la majira leo. Limeweka wazi ule mkakati wa matangazo. Soma upate kujifunza kama kijana wa jf unayetarajia kuingia kwenye hatua hii
Hujatenda haki sisi wa mpitimbi gazeti tutatoa wapi?! Tuwekee bana
DA, hata mie huku Mfaranyaki huwa hatupati kabisa magazeti

[/QUOTE

Niko Kindimba sasa hv namsalimu Bibi na Babu ngumu kupata gazeti

sogea hapo Litapwasi dada ama Namanditi utapata gazeti ha ha ha ha umenikumbusha mbaliiiii mpitimbiiiii