Majira: CHADEMA kwachafuka

Majira: CHADEMA kwachafuka

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
7,930
Reaction score
990
DSC00009.JPG
 
Gazeti lenye maboss vichaa kina Bashe na Bagenda.Fikra Potofu.
 
Hilo nalo gazeti? Ni afadhali ununue Uhuru au Habari Leo kuliko Majira. Hamna kitu kabisa na ninasikia waandishi wake njaa kali, hawana hata mishahara. Asilimia 90 ya waandishi wake ni makanjanja.
 
Wanatamani sana kwa fikra zao kuibomoa CHADEMA kwa namna wanavyoona inafaa. Wakae wakielewa kuwa watu wa miaka mitano iliyopita sio watu wa miaka mitano ijayo...mbinu zao chafu za kizindaki hawawezi kushinda nguvu ya Umma ambayo ni sauti ya mungu....Viva Chadema!!
 
Kufilisika kuna sura nyingi wajameni. Kama vipi waliite Uhuru B kwani sasa wanatia kinyaa kuwalamba CCM miguu

hilo gazeti hivi sasa halina tofauti n'a uhuru n'a jamboleo limeingizwae kwenye payroll ya Nape lakini mwisho wa siku nao wataumbuka kama alivyoumbuka vascodagama kwenye kesi ya Lema leo
 
kweli chadema kumechafuka kwa shangwe baada ya haki kushinda dhuluma matokeo yake godbless lema karudushiwa ubunge ccm chali mimi huwaga cna muda wa kusomaga magazeti kama haya.
 
Kwani uongo hakujachafuka? Huu mnyukano wa kudhalilisha mtandaaoni si ni viongozi wa chadema
 
Hilo nalo gazeti? Ni afadhali ununue Uhuru au Habari Leo kuliko Majira. Hamna kitu kabisa na ninasikia waandishi wake njaa kali, hawana hata mishahara. Asilimia 90 ya waandishi wake ni makanjanja.
Lilikwisha oza ilo ,lilikuwa zamani enzi hizo yupo mzee Sammy Makila,Ndimara na Bossi Mwenyewe Mzee Nyaulawa akiwa hai japo alikuwa mwanaMagamba alikuwa busineman mzuri,sasa hivi sijui hata website hawana wanahangaika na blog ,toilet paper inathamani kuliko ili gazeti la Majira.
 
Back
Top Bottom