Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,971
Mafisadi wanakula fedha za umma Hadharani kwa hiyo ni vizuri watatumbuliwa hadharani. Ndivyo alivyodai JPM. Mimi sina ubishi na hilo ila ingekuwa fair enough kuacha pia Bunge lioneshwe hadharani, LIVE ili hata yale mapungufu ya Serikali yako yaonekane na kufanyiwa kazi! Kila kitu kiwe HADHARANI, sio kuwa selective bila sababu yoyote!