Majipu Arusha Technical College

Mwita maranya tafadhali endelea kutoa msaada watanzania wenye nia njema waelewe.
 
Natumai Naibu KM Elimu, Profesa Msanjila analisikia hili. Ni mtu makini na anaweza kuchukua hatua stahili ili kuokoa elimu na raslimali za serikali.
 
Mkuu wa chuo ana PhD feki,
kama kweli Dr. Masika ana PhD feki kama unavyosema, imekuwaje vyombo vikubwa vya kimataifa Duniani vimpe nafasi kubwa. kwa mfano Dr. masika ni kaimu mwenyeki wa 'The world Federation of Colleges and polytechnics (WFCP), pia ni mjumbe wa Bodi ya 'The Commonwealth Association of Technical university and Polytechnics in Africa (CAPA), na vile vile ni mwenyekiti wa ' Investment and Development Comittee' ya CAPA. kama kweli ana PhD feki wangemteuwa nafasi kwenye hizo taasisi ? Dr. masika tunayemfahamu sisi ni mhandisi makini sana na amekuwa na mchango mkubwaa sana kwenye field ya uhandisi hapa nchini. Tatizo kubwa kwa sisi Watanzania ni chuki binafasi, hatupendani sisi kwa sisi, Hivi ni nani hasa aliyeturoga ? hizi roho za kwanini tukiona mtu anafanya nzuri ni shinda.... tumezoea majungu, fitina na uzandiki uliopitiliza. tubadilike jamani.
 
nilikutana na barua ya malalamiko ya wafanyakazi wa ATC kwenda kwa waziri mkuu.Kweli mkuu wa Chuo kafanya chuo kua mradi wake
 



 
MKUU, MTOA MAADA KATUMIA KISWAHILI, NA YUPO SAHIHI KUA JINA LA CHUO NI 'CHUO CHA UFUNDI ARUSHA'
wewe unamkosoa kwa lugha ya kingereza.Nikuombe mkuu usiwe mvivu wa kufikiri na kuchunguza mambo kabla hujayaweka hadharani kwa jamii, utaumbuka.
Rejea logo la Chuo husika, ni aibu kwako.
. BE YE KIND
 
Hii ilifikia wapi saigilomagema
 
Hii ilifikia wapi saigilomagema
Ok, viongozi wakubwa wote walishaondolewa, serikali ilianza na aliyekuwa mkuu wa chuo Dr. Richard Masika, alifukuzwa km jambazi 2017, aliyekuwa anakaimu Dr. Masoud naye alijiingiza kwenye mtego kipumbavu 2020 ilikuwa afukuzwe ila alimpigia magoti waziri mkuu Majaliwa akilia km mtoto mdogo, sahv ni afisa wa kawaida yuko pale wizara ya Maji Dodoma anatumwa na mkuu wa idara km mtoto mdogo. Serikali yetu ni sikivu sana, ukipewa dhamana iheshimu, acha arrogance, egoism, kiongozi ni mtumishi siyo mtawala tena wa kunyanyasa, kubagua unaowaongoza. Ukileta za kuleta sisi kurunzi tupo tunakumulika tunakurusha tukiwa na data kamili. Taarifa zinaletwa humu usije ukazipuuza, nyingi ni za kweli serikali inalifahamu hilo. Ila viongozi wengine kwa ushamba na kutokujua wanaanzisha ligi na watu wasiowafahamu, mwishoni wanaumia maana serikali ikifanya ufuatiliaji inagundua ni za kweli. Viva Tanzania viva! Bila shaka nimekujibu.
 
Nikichimbua makaburi yako, umesheheni malalamiko
 
Nikichimbua makaburi yako, umesheheni malalamiko
We kafanye mambo yako, taarifa za kuwasaidia watanzania na serikali siyo malalamiko, kila mtu ni mlinzi wa nchi hii. Timiza wajibu wako usitafute matatizo na watu. Utafukua nini, threads zangu zinapatikana kazirejee km unazihitaji. Ni km sijaelewa unataka nini. We pambana na taasisi achana na watu binafsi. Mind your business wacha kila moja atimize wajibu wake
 
Kama ndiyo raha yako, hongera sana. Ila kazi unayo
 
Kama ndiyo raha yako, hongera sana. Ila kazi unayo
Sinaga muda kulumbana na watu binafsi, raha ktk lipi, ht we una kazi. Unazungumzia hbr za ATC? We unamfahamu Masika? Nenda kaulize pale chuoni alikuwa mtu wa aina gani. Yule alikuwa shetani, km amepewa haki yake unasema naona raha? Km ndivyo uko sawa, kwani km ni ww shetani akishindwa we huwezi kufurahi? Basi utakuwa wa ajabu! Mashetani km Masika yakishughulikiwa jamii inapata uponyaji, kwanini usifurahi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…