Majipu aliyotaja Mbowe yanahitaji timing;

Majipu aliyotaja Mbowe yanahitaji timing;

Asubiri atakapoingia madarakani yeye afanye kazi hiyo, asitufanye wajinga wa kumpaisha kisiasa kama ana uchungu apiganie bungeni kufuta sheria ya kinga ya rais mstaafu. Anatujaza hasira kwa vitu ambavyo anajua haviwezekani kisheria.
Anafurahiaha wafuasi wake. Anajua alikua kapotea sasa anawajulisha mburura wake yupo. Ndiyo maana nauchukia upinzani wa bongo tangu miaka 20 oliyopita walijua kuwa katiba ni ya chama kimoja lakimi badala ya kuomba katiba mpya walijiingiza ktk kinyang'anyoro cha urais huku wakijua fika wanatwanga maji ktk kinu
 
Mpwa wangu Elli pitia huku uone hili balaa analolileta Mbowe. Eti Chief Mtumbuaji mkuu anayesema yeye ni kutumbua tuu na kutusihi tumuombee kwa Mungu akikutana na majipu yaliyo via usaha anakula kona.
Sasa katajiwa wazi majipu makuu yanayotafuma mpaka kwenye madini ambako hadithi ya makantena itaonekana ya kitoto kabisa yeye anabadili lugha anajibu kwa kisukuma mpaka tunashindwa kuelewa anamaanisha nini.
Sasa hii imekuwa ni #HAPAKONATUU
Hahhaaa japo inasikitisha lakini nimecheka sana eti #HAPAKONATU nimecheka mno, ule mkwara wa Kufuli tu, fungua bado tunazo aiseee, haya aende sasa huko nako
 
Back
Top Bottom