Majini: Viumbe vyenye roho hatari na wivu uliopitiliza

Ni kweli kabisa.
Binadamu ana uwezo kupita Jini lolote.
Eti Jini linaingia ndani ta mtu halafu linasema lipewe, damu ya kuku, au uvumba, au ubani.
Kwani lenyewe linaonekana halina uwezo wa kufuga kuku kabisa.
Siku moja ati Jini linasema linataka lipewe Bia.
Tena Safari Laga, nilicheka nusu nianguke.
Jini linataka liolewe na Binadamu na lioe Binadamu.
Binadamu kumnyenyeke la Jini ni kujishusha thamani.
Ndio maana ukiliendea ili likutatulie shida zako linakupa masharti kibao kwakuwa linakuona ni Mpumbavu wa kutupwa.
hii kali linataka bia... Hivi kwanini huwa yanajikweza sana haya madubwana?
 
Mkuu @mshanajr mimi ni mwanaume ila yamenifika nimezunguka kwa waganga naambiwa nna ruhani eti hataki mimi niwe na mwanamke mpaka mtaani naonekana wa ajabu wengine wananihisi mm ni ommy dimpoz naumia sana kwa kweli
 
Mmh inakuwaje kwani ukijisikia kuwa naye? Hawakupendi au shida iko wapi?
 
Msingi wa mada hii ni wanawake ambao wamependwa na 'kuolewa' na majini. Hawa wana bahati mbaya sana kwa kuwa hawaoleki na binadamu

Kwenye ukoo mzima wa majini kuna mazuri na mabaya na kuna haya yanayopenda kufanya mapenzi na binadamu wa kike. Hawa ni tatizo sana

Unapozungumzia wivu wa kiumberoho jini, huwezi kuacha kuzungumzia wivu wa mnyama nyegere, huyu anawakilisha kipimo cha wivu kwenye ulimwengu unaoonekana. Nyegere ana uwezo wa kumfuata mbaya wake hata kilometer 100 kwenda kumdhuru via vya uzazi akikuhisi vibaya na mpenzi wake na pengine pia ana uhusiano na neno nyege.

Ukiachana na jini na nyegere viumbe wenye wivu uliopitiliza kuna kicheche, huyu hana wivu ila kiwango chake cha tamaa ya ngono kiko juu kuliko kiumbe mwingine yeyote. Kicheche ana uwezo wa kufanya ngono mara 18 kwa siku na ndio asili ya binadamu wapenda ngono kuitwa vicheche

Turejee kwenye mada....
Kiumbe roho jini hapendi kushare mapenzi na binadamu. Ana wivu mbaya sana hivyo mwanamke anayeshiriki ngono na jini hawezi kupata mpenzi binadamu au kuzaa mtoto

Akipata mpenzi binadamu wataishia kugombana na ikitokea kazaa mtoto atakufa kwa bahati mbaya sana kwakuwa wana hisia kama binadamu wengine wote hili jambo huwaumiza na kuwafadhaisha sana lakini HALINA TIBA, tiba pekee ni jini kuamua kuondoka mwenyewe yaani kutaliki

Na hata jini akiondoka mwanamke huchukua muda mrefu kupata mpenzi wa kutulia naye kutokana na kukosa aina ya mapenzi aliyokuwa anayapata kutoka kwa jini...

Hivyo ndugu yangu kama una mpenzi wa jinsi hii hakuna tiba itakayomfaa zaidi ya kutuliza tu kama asprini
Jambo hili katika kinifikirisha nimejaribu kurejea kwenye maandiko matakatifu kuona kama kunaweza kuwa na clue juu ya jambo hili.
Ni wazi kwamba linaweza kuwa na kidokezo ambapo wanaoweza kuwa na matunda ya kuelewa ni wale watu wa kiroho zaidi
Nimefikiria juu ya shetani kiumbe roho kumwangusha Eva pale bustanini kwa kupitia kiumbe mnyana nyoka. Maswali mengi yanaweza kuibuliwa hapo juu ya aina ya tunda lililoliwa na Eva. Ila kuepuka urefu wa kulichambua hili , niwapeleke wenye maswali mahali pengine katika maandiko.
Mwanzo 6:2
[2]wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
Japo nukuu hii haihusiani moja kwa moja na majini kiumbe roho au malaika walioanguka zaidi ya kwamba ni roho za wale viumbe walioanguka waliwaingia kwa kuwapagaa baadhi ya wana wa Mungu katika suala la mahusiano kingono.
Hata hivyo kuna aya nyingine kuhusu majini.
Mambo ya Walawi 17:7
[7]Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale majini, ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao. Sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao, kizazi baada ya kizazi.
Hata hivyo kama wengine walivyozumza kuna tiba katika jambo hili la mahusiano na majini.
Tiba ni kuwa ndani ya Yesu kwa kuzaliwa upya
Luka 4:18
[18]Roho wa Bwana yu juu yangu,
Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema.
Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao,
Na vipofu kupata kuona tena,
Kuwaacha huru waliosetwa,
SWALI LANGU KWA MSHANA NI HILI.
JE HAO MAJINI WANATUMIA UMBO GANI KUFANYA NGONO MAANA WAO NI VIUMBE WA KIROHO?
 
Asante kwa ufanunuzi uliojaa uchambuzi mzuri.. Jini ni kiumbe roho na bila mwili hawezi kufanya haya ya kidunia ya kimwili hivyo ni lazima apate mwili jumba kuweza kufanya hayo
 
Dah.. mbona wanasema Yapo,
Hata wachimba madini wayatumia sana ili kupata mawe.
Najua hutaki kuniambia Tu.
Mchongo mkubwa sana huo Kaka
Majini hayafuati amri za kibinadamu wala hayashurutishwi na kiumbe aliyemzidi uwezo
 
Yanatoka...

Wakipata mtu madhubut!

Wanachagua kutoka kwa mapatano baada ya kuzidiwa nguvu..au kuunguzwa!

Binadam Ana uwezo na mamlaka ya kumiliki na kutawala Hawa viumbe..ni vile tu hatujielewi ..

Lakini ukisimama naafasi yako ...Ni waoga Sana na wanajuwa ...ila wanatumia khofu na kutojiamini kwetu kutugara Gaza...!
 
we si ndo unosema unamuamini yesu ww hlf untka majini saivi pole kijana pmbna utafute acha kupenda mtelezo
Si ulisema kuna Majini mema Maislamu.
Au sio wewe.
Ndiyo nayataka hayo yaniletee Hela.
Na hasa dola.
Pesa hata akikuletea Adui ni Sawa
Tu.
Kwani wewe pesa zote unazopata kwa rafiki zako Al-Shababu ?
Hujawahi kupewa pesa na KAFIRI wewe na ukaichukua ?
 
unazingua ww ila m sijasema ivo
unajifnya una imani kumbe ukipigwa mtihani kdgo tu unayumba
 
unazingua ww ila m sijasema ivo
unajifnya una imani kumbe ukipigwa mtihani kdgo tu unayumba
Siyumbi Mimi.
Wewe mbona unapokea hela za MAKAFIRI.
Tena unakuwa mnyenyekevu kabisa kwenye swala pesa.
Mimi kwangu Majini ni Makafiri tu.
Ni roho za Mpinga Kristo.
Ila pesa zao nachukua Bila Shaka.

Majini yanapaswa Kunitii na kunitumikia Mimi.
Mimi ni Bora kupita hayo mavibwengo yanayo itwa Majini.
Majini yanapaswa kunitii Mimi.
Na nitayatawala milele na milele.

Kuwa mpole dogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom