Majini & Mapepo πŸ‘»πŸ€”

Mhm haya sawa
Kama ukijua binadamu ni kiumbe dhaifu hata katika kutumia milango ya fahamu yake , binadamu kuna vitu vingi zinamuhitaji kutumia vifaa saidizi .

Kuna mnyama kama bundi anaweza kuhisi mzogo kwa zaidi ya kilimoter nyingi na harufu akaipata kupitia pua zake , mbwa wale wanasafiri hata kilomita 5 kumfuata jike kwa sababu wakati wa usiku hasa jike akiwa katika joto anatoa maji yanayomfanya ahisi harufu ..Wewe pua zako zinaweza kuhisi harufu hata iliyopo kilimeter moja​
 
Umeuliza kama na amin katika Din.
Jibu ni ndio na hapana,
Ndio kwenye mambo ambayo wako sahih na hapana kwenye mambo wanayokosea mfano kushindwa kukielezea kitu ambacho kipo had watu wanahis hakipo.

Na umeuliza izi nguvu nazozielezea nimejifunzia wap?
Jibu n iman au mambo ya roho ukifundishwa unapandikizwa itikadi kifupi unapotezwa kwa kumezeshwa theology ya taasis.
Ukwel unapatikana kwakuwa na fikra huru.

Mfano roho n fikra, mapepo n fikra has, utasemaje iki kitu hakipo.
Mungu n nguvu kuu iliyopo kila mahali na kwa wakat mmoja, kwenye kila kinachoonekana na kisichoonekana kwa wakat mmoja na viwango tofaut apa ndo unapata uungu au nguvu ya kitu bas iyo nguvu ndo Mungu ndan ya kiumbe mfano nguvu ya tiba kwenye miti, maajabu ya wanyama, ufaham wa binadam na nguvu zilizo nje ya ufaham wetu had sayans ikatumia vifaa kugundua universal evolution/Bing Bang theory japo haiko perfect ila inachora taswira nguvu inavyoweza kujizalisha nakuwa kitu kikubwa au kuwa vitu ving.

Au namna mwili wa binadam ulivyoumbika kwa kuanza na nguvu sifuri had kuwa nguvu kamili yaan binadam,
Hatua zipo 14 had akawa mwanadam;
1.Void-utupu au hamna kitu
2.Vibration-mtetemo, nishat kuzaliwa
3.Waves-Nishat kusafiri eneo moja had lingne/kusambaza uhai
4.Quarks na Photons-Chembe ujenzi
5.Sub Atom-chembe zinazounda nguvu ya mwili/umeme wa mwili yaan +Proton, -Electron na +-Neutron.
6.Atom-Element au maada isiyogawika
7.Chemical compound-Dutu au maada kamili
8.DNA-Vinasaba au urith
9.Sub cell-Cell ndogo ndan ya cell inayobeba urith
10.Cell-Kiumbe kidogo zaid, mkusanyiko wake ndo unaunda kiumbe hai na tissue zake
11.Tissue-Mkusanyiko wa cell za aina moja unaounda viungo vya mwili
12.Viungo kama ubongo mkono moyo figo n.k
13.Mifumo kama upumuaji uzazi misuli mifupa mkojo kinga homon n.k
14.BINADAM
Ivyo ndivyo nguvu inavyojizalisha nakutengeneza kiumbe au vitu vingne vyote. Iyo nguvu ndo Mungu, Kusema haipo au hayupo kunatokana na jins Din zilivyomtafsir et n kiumbe wakat kiumbe lazima kiumbwe.
Nguvu iliyozalisha vitu vyote tunavyoviona na tusivyoviona ipo na iyo ndo Mungu.
Ndo mana nikatoa mfano wa uo mtiririko au uumbaji unavyofanyika had kinakuwa kiumbe kamili au vitu kamili vilivyotuzunguka.
 
Binadamu ni kiumbe dhaifu
Kwanini Mungu akamuumba dhaifu?
 
Shukran sana mkuu πŸ™πŸ™
Karibu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…