Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,911
- 21,931
Ipo wazi sema no feelings Tena I guess menopause inaninyemelea
Mmmh mwanamke muongo wewe aisee
Ipo wazi sema no feelings Tena I guess menopause inaninyemelea
Mpenzi kuna jina hapo linafanana na languJacky, Suzy na Jamila...Happy ni vishoia!![]()

Dulla ndiye huyo huyo AbdulPendo, mariam, Suzy,
Kwa wanaume..
Baraka.. Dulla, abdul..
😂😂😂 pole sana h, wingi wenu unawaponza...joking!Mpenzi kuna jina hapo linafanana na langu![]()
Khaaaa!!!Grace. Samahani kama kuna Grace hum ila wenye hili jina jamani hapana
Teh kuna kina Side Mnyamwezi achana nao kamuulize Mhe TembaWakin SAIDI wapole sanaa halafu hawanaga tabia mbaya hata kidogo kwanza ni wacha mungu halafu watulivu hadi wanakuwa wajinga .
N.b
Ninarafiki yangu hadi namuona kama zoba sasa manake ni mpole balaa sjajua inasababishwa na nini hii kitu.
Nimesoma kuanzia mwanzo wa hii thread.... Ukiangalia kwa makini basi wanawake wote ni malaya... Hakuna jina ambalo halijatajwa....
Nimesoma kuanzia mwanzo wa hii thread.... Ukiangalia kwa makini basi wanawake wote ni malaya... Hakuna jina ambalo halijatajwa....
dah; hili jina langu halijawahi kuweka kwenye mambo ya heshima kabisa; kwenye dreva boda boda limo, wizi limo,DJ wa vigodoro limo ukicheche nao linatajwa limo. Kazi ipoChiku
Mwajuu
Pendo
Tinna
Dullah
Chollo
Muddy
Nimeliona sema kwakuwa nna mahaba na wewe nikatumia uwezo wangu wa uMOD nikadelete....Langu mimi halijatajwa. Halafu tunaangalia majina yaliyotokea mara nyingi maana wengine wanataja tu kisa X wake anaitwa Tununu basi anakuja kutaja


sema hapa yanatajwa majina ambayo ni common, yana watu wengi kwa hiyo ni kawaida kutokea watu wa sampuli tofauti. Jina langu watu wazima tuko wachache. Shule ya msingi miaka yote saba niliyosoma nilikuwa peke yangu shule nzima, o level tulikuwa wawili, Advanced level tulikuwa wawili, chuo kwenye course yangu tulikuwa wawili au nilikuwa peke yangu (sikumbuki vizuri)
Nimeliona sema kwakuwa nna mahaba na wewe nikatumia uwezo wangu wa uMOD nikadelete....
Kwanini Sasa?Mmmh mwanamke muongo wewe aisee