Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,638
Habarini wana MMU
Kuna kasumba imezagaa sana huku uswahilini na hasa kwa wale ambao wanandoa lakini wako concervatives yaani unakuta watu wameoana na mtoto akipatikana lazima kiwekwe kikao yajadililiwe majina kwa VOTE litakalopita ndio la huyo mtoto regardless we mwenye mtoto hulipendi ama la na kuna wakwe wengine anafanya BOOKING kabisa kakitokea ka kike utamwita "NYAMWEKO" kwani ilo ni jina la marehemu bibi yangu sasa huu utaratibu ulitokea wapi???? unakuta majina yanajirudia rudia humoo wee kisa mjomba,kaka mtu, wakwe woote wabandikwe PHOTOCOPY ZA MAJINA KWA WATOTO mi hii kitu inaniudhi sana na njooni mnijuze kama labda ni mila na utamaduni wa kitanganyika......Baya zaidi ikitokea labda upande mmoja wa ukweni (kwa mama) yametoka majina kadhaa malalamiko yanaanza upande wa kiumeni oooh mwanetu kashapigwa limbwata..haya niyasemayo yamemkuta dada flani namfahamu ma mkwe wake alitaka mjuu wa kike aitwe jina lake ye akaona sio zuri akamshawishi mumewe walipotezee sasa Cha AJABU mjukuu akienda kwa bibi anaitwa Jina alilokuwa kachaguliwa na Bibi na anamchukia mbaya huyu dada eti kamteka mwanae...mtu na mkwewe hawakai pamoja kisa majina ya watoto walio wazaa wenyewe Lol