Majina ya Wanawake wa JF

Hahaha.......nimecheka sana.Ila mimi nilijitazama haswaa nikajiona nastahili hili jina.
Ila hayo majina ya mwisho nimecheka sana yaani nimecheka.....hahaha

 
itabidi nikualike kwenye sherehe yangu ili unipangie mistari ya mashairi yenye vina na sifa je uko tayari bestito?

 
Isije ukawa ulipm na ukapata, ukiona kinyaa chumvini. Ujue hapa JF wanaambizana na ndo maana ukipm unapata jibu baada ya 2030. Usisahau mtafuta cha uvunguni sharti uinue matanda. Merci)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…