Majina ya Wanawake wa JF

Madame B ananikosha sana. Nampenda sana huyu dada japo sijawahi hata kuonana nae
 
Last edited by a moderator:

Mimi umenisahau
 
Kuishi kwingi kweli ni kuona mengi.

Naona safari hii mpango kazi wako umekuja kivingine kabisa
 
Madame B ananikosha sana. Nampenda sana huyu dada japo sijawahi hata kuonana nae

Asante sweety Bulldog kwa kunipenda.
Hata nami nakupenda sana.
Mie nipo huku Kinondoni makaoni.
Jumamosi nitakutafuta ili kiu yako itii.
Karibu.
 
Last edited by a moderator:
kuku kuku tu - jogoo jina.

mwanamke ni mwanamke tu; jina kitu gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…