Majina ya wanawake/mabinti

Majina ya wanawake/mabinti

Kuna mshkaji anasema kuwa kitu chochote chenye majina mengi kina madhara sana. Mfano gongo na bange!!!
 
Apana my wife namwita mke wangu au kuna kosa?!

Sent from my BlackBerry 9360 using Jamie's
 
mmengaika sana kujua majina ya wanawake wanavyoitwa je mbona mmesahau majina ya wanaume au nyie mnajitoa nini?
kama kuyataja na tuyataje kuliko kulalia upande mmoja mmeniuzi hasa pono
 
mmengaika sana kujua majina ya wanawake wanavyoitwa je mbona mmesahau majina ya wanaume au nyie mnajitoa nini?
kama kuyataja na tuyataje kuliko kulalia upande mmoja mmeniuzi hasa pono
Anzisha thread nyingine, 'mkata nyasi'
 
Back
Top Bottom