Majina ya wanaume na sifa zao katika mapenzi

hii nime google ujijue
joanah; mpole alafu wivu kishenzi, kichwani yupo vizuri lakini kwenye mapenzi anabakiwa na akili tano tu
akili 1 ya kumsikiliza mungu
2 ya kumsikiza mama
3 ya kumaikiliza baba
4 ya kuusiliza moyo usukume damu au mapenzi
5 ya mambo ya ziada

joke!
[emoji3] [emoji3]
 
1. Andrew-mapenzi ya tamthiliya
2. Nicolas-muongo
3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja
4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda mrefu
5. Joseph/Josephat/yusuph-kicheche
6. Jeryson-anapenda mademu ila wanawake wanamkataa
7. Shadrack-anapenda sifa kwa mademu
8. Richard-ana wapenzi wengi ila msiri
9. Mathew-anapendwa na wanawake ila domo zege
10. Thomas-anapendwa na mademu ila hajatulia
11. Prosper-hajui habari za mapenzi
12. Fidelis-mtaalam wa kutongozea mademu wenzie (kuwadi)
13. Aaron-maneno mengi ila vitendo sifuri
14. Costantine-wanapenda kutongoza hovyo ingawaje wana mpenzi mwaminifu
15. Elvis-handsome ila hapendwi na mademu
16. Edward-serious sana kwenye mapenzi
17. Moses/Mussa-mwepesi kutongoza na mwepesi kuwacha
18. Ally/Elly-wasiri sana kwenye mapenzi
19. Mohammedy-anapenda watu waliomzidi umri
20. Nickson-wakiingia kwenye mapenzi wanatendwa vibaya
21. Alpha-wanapenda sifa kwa wanawake ili wapendwe
22. Jimmy-wana mapenzi ya kejeli
23. Elias-wanapenda mademu ila wanaogopa kuwaambia
24. Frank-huyu mpole wanawake wanajitongozesha wenyewe
25. Joachim-hana habari na mademu,anaamini ipo ataoa tu
26. Omary-anapenda achape tu atembee
27. Steven-hana habari kabisa na wanawake ila ana bahati ya kupendwa
28. Gerald-mpole na antulia na mpenzi mmoja kwa mda mrefu
29. Elisha-anapenda wanawake wanaochukiwa katika jamii
30. Benard-akipenda kapenda
31. Juma-hawa kazi yao ni kuchafua wanawake wa mtaani na jamii inayozungukwa
32. Kassimu- anapend utukufu na kusifiwa hata na mkewe
33. Khalid -msumbufu na anapenda kupedwa kuliko kupenda wanawake
34. Daniel-anawivu sana mjanja na anapenda kujua mambo yaliyojuu ya uwezo wake.
35. Said-hajui kupenda na huwa anatamaa hasa kwa bint weupe.
36. Rajabu-mgumu kumuamin mwenza wake.
37. David-Kupenda kujionesha mbele ya wanawake kwamba anauwezo mkubwa hata kama hana.
38. Farid-Mpenda wanawake warefu wenye mwanya na shepu.
39. Rama-hupenda kusikilizwa yeye tuu na anapenda wanawake wenye makalio makubwa hasa wanene.
40. Seleman-anapenda ngono.
41. Issa -huwa na msimamo hasa katika maamuzi yake hat kwa mwenza wake
42. Fadhili- vitu vyake ni vya siri saana na hata mwenza wake ni ngumu kujua
43. Charles -Hapend kudumu katika mahusiano na hupenda kuwa pek yake
44. Karimu- hupenda kuwa na wanawake weupe
45. Laurence-hunyanyasika kwenye mahusiano hata huweza kulia hovyo
46. Masoud- anajua kujali na kuheshimu ndoa yake ila mkali sana.
47.Hamad-mpole pia hapend kutoa siri zake kwa mwenza wake pia hupend kunyenyekew na mpenz wake
48. Hasani -hupenda kupewa kuliko kutoa hata kwa wenza Wap
49. Alen-hupenda kulaumu hata kwa jambo dogo na hupend wanawak weupe
50. Luka- wanapenda kwa mda ukijichanganya utaumia ukiwa nae.
51. Jafari- Hupenda wake za watu.

Je wewe jina lako lipi?
Mwifwa
 
kuna watu majina yetu ya asili kama kobelo,ng'obora na limbu unatuweka wapi?
 
Dah! Sawa bhaaana kama kuna ukweli.
Nilitaka nihakiki kama jina langu lingekuwemo.
 
Eti Mohammed wanapenda wanawake waliowazidi Umri.

Una Utani na Mtume weyee.
 
Halipo.
 
naona jamaa kaamua kulist majina ya washkaji zake afu anatudanganya eti ni utafiti.
Kuna muda nadhan watu wnaakua na hamu ya kuanzisha uzi ili mrad uzi,bt mida mwngine nainjoy kucomment tu sio lazma nianzishe uzi sasa ana washkaji wake anakuja kutupiga fix hapa uwanjan daaaah aiseee
 
na wakati huyo ndio tunaambiwa alioa kitoto cha miaka 12.

Hapana chezea Mudy weyee, Bi khadija ndio alimzidi umri

Bi Khadija (40years)

Abdallah Ibn Muha'mmad (Mtume Mohammad (S.A.W) (25 yrs)
 
Back
Top Bottom