Majina ya wanaJF

hovyohovyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
547
Reaction score
159
WanaJF, Je ni jina lipi la mwanaJF linakufurahisha? Kuna jamaa anaitwa KIBANGA AMPIGA MKOLONI, hii id kwangu inanifurahisha. wewe Je?
 
WanaJF, Je ni jina lipi la mwanaJF linakufurahisha? Kuna jamaa anaitwa KIBANGA AMPIGA MKOLONI, hii id kwangu inanifurahisha. wewe Je?

aah hilo jina "kibanga"tulimpachika mwalimu wetu,teacher alikua na vituko noma
 
me370 hili jina linanifurahisha na kunikumbusha mbali sana.
 
mim majina kama ugaliwa asubuhi,zamazagizazimeisha,munambefu hahaha
 
Mie nakoshwa na jina sina pa kwenda
 
mimi nakoshwa na jina la peter,happy
samahani lakini kwa usumbufu najua hukutarajia
 
me nakoshwa na Invisible, cjui alifikiria nini mpaka akajiita hvo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…