Majina ya wanafunzi wanaojiunga chuo mwaka huu 2015/2016

Majina ya wanafunzi wanaojiunga chuo mwaka huu 2015/2016

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,714
Hivi haya majina yatatoka lini? mbona muda wa kwenda chuo umefika? hofu yangu yasije kutoka week moja kabla kwenda chuo na inatakiwa tuandae ada.
 
Chuo mnaenda mwezi wakumi na moja,penda kusikiliza habari na kuzulu tovuti husika..kuliko kuliko kutegemea ripot zako kwenye vijiwe vya kahawa na magenge ya jamii forum
 
Serikali kupitia taasisi zake itatujulisha shida ikowapi?ukiona kimya ujue bado tulia!
 
Chuo mnaenda mwezi wakumi na moja,penda kusikiliza habari na kuzulu tovuti husika..kuliko kuliko kutegemea ripot zako kwenye vijiwe vya kahawa na magenge ya jamii forum

jamaa anachosema kinaukwel vyuo ving vinafunguliwa kuanzia tarehe 2 november leo n tarehe 2 oct watu kiuchumi hawako vzuri ni bora wangetoa mapema ili watu waweze kujiandaa
 
jamaa anachosema kinaukwel vyuo ving vinafunguliwa kuanzia tarehe 2 november leo n tarehe 2 oct watu kiuchumi hawako vzuri ni bora wangetoa mapema ili watu waweze kujiandaa

Ndio ajipange sasa..au akishajua chuo ndio atajipanga?au anataka kujua nauli ya bus kama atachaguliwa mkoani!!
Vyuo alivyomba ada imeoneshwa,na kwa experience yangu system ya siku hizi kukosa chuo ni nadra..sema kupata chuo unachotaka ndio mgogoro.
 
Mmmh...mleta mada, mara ya mwisho kutumia email yako lini!?? Maana kuna baadhi ya vyuo wametuma list ya majina via email..mfano tumain university, pale mwenge...
 
Back
Top Bottom