Majina ya wana ndoa

Majina ya wana ndoa

sab

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
5,744
Reaction score
4,354
Nimatumaini yangu muwazima wana JF wenzangu, baada ya salamu niende moja kwa moja kwenye mada.

Wapendana nao waoishi pamoja , ikiwa wamefunga ndoa au hawaja funga ndoa na ikiwa wamepata watoto au hawaja pata watoto,

Watu hawa wawili wanaunganishwa na upendo , japo upendo una nyanja ningi lakini kwa namna moja au nyingine wapendanao (wana ndoa , na wasio na ndoa ilimradi wanaishi kama mke na mume, )

Watu hawa wawili inapendeza na inaleta uimara mkubwa sana kwenye maisha yao ikiwa wanaitana Mke wangu, au Mume wangu , hata kama wana watoto au hawana watoto, kuotana majina haya huongeza nguvu kwenye upendo wao kuliko kuitana majina mengine kama vile Mama fulani au Baba fulani, nk

Ushauri wangu mlio kwenye mahusiano ya unyumba kama mmeowana au hata mnaishi bila ndoa, kwakuwa lengo ni moja basi itaneni Mume wangu , Mke wangu, msitumie majina ya watoto wenu kuitana,

Wana ndoa wengi wanaotumia majina ya watoto wao kuitana mapenzi yao yanakuwa yapo kimazoea tu na kunakuwa hakuna bashasha mwishowe uhusiano unachuja, kinachifanya uhusiano uchuje kutokana na kuitana ni hivi,

Mume au Mke ni watu wapekee na kila mmoja anapenda kuonekana na mwenzake niwa pekee, hivyo kuonyesha upekee ni katika kuitana, kwa una watoto alafu majirani zako wakakuita Baba fulani, au Mama fulani, na Mke wako au Mume wako akakuita hivyo hivyo , hapo moja kwamoja kama Mume au kama Mke huwezi hisi utofauti wowote ukiwa na Mume wako au na Mke wako,

Lakini kama majirani zako ndugu na jamaa wakakuita Baba fulani, au Mama fulani, lakini ukifika kwako unaitwa Mume wangu, au Mke wangu, hakika utahisi utauti mkubwa sana na hakika uhusiano hauwezi kuchuja kabisa ,

Itaneni Mume wangu, Mke wangu
 
USILIVUNJIE heshima NENO MKE/ MUME Wangu...bila NDOA ni UPUUZI mtupu kuitana HIVYO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: sab
Nimesoma mwanzo mwisho mkuu,,kuitana MKE/ MUME bila NDOA ni KUPOTEZEANA MUDA

Sent using Jamii Forums mobile app
Unanicheksha sana, yaanihadi watumnaishi hamuoni kuwa mmesha poteza muda bai kuitana mke, mume ndiokupotezeana muda , ama kweli watu mnashindwa kuelewa mambo yanavyo kwenda
 
Huoni kama kukubali KUITWA MKE/MUME wakati hamjaoana ni KUHALALISHA ZINAA?Mke/MUME ni Yule tu ANAYEHESABIKA kwa MUNGU..sasa wewe ukiambiwa OA,,,AU OLEWA unasema BADO kwnz,,,lakini neno LA MUME Wangu/MKE Wangu LIMESHIKA HATAMU...huoni kama ni KUPOTEZA MDA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: sab
Huoni kama kukubali KUITWA MKE/MUME wakati hamjaoana ni KUHALALISHA ZINAA?Mke/MUME ni Yule tu ANAYEHESABIKA kwa MUNGU..sasa wewe ukiambiwa OA,,,AU OLEWA unasema BADO kwnz,,,lakini neno LA MUME Wangu/MKE Wangu LIMESHIKA HATAMU...huoni kama ni KUPOTEZA MDA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuulize hivi , sasa wewe kama umesha kosea umesha kosea usibiri heshima wakati ulisha ivunja mwenyewe , sasa nilichokuwa na maanisha nikuwa kwa wale wote walioko kilalali na wasio kilalali na wapo wanaishi pamoja na wengine hadi watoto wanao, sasa kuepusha watoto kukosa muelekeo basi wazazi wajiboreshe walipo kosea , na katika kujiboresha kusio na garama ni kuongeza upendo kati yao,

Hivyo kuitana pia huimarisha upendo
 
Back
Top Bottom