Mbona nikiingia kwenye account yangu sioni ujumbe wowote? Raundi ya kwanza ilipotoka kulikuwa na ujumbe kuwa nimekosa kwa kuwa masomo niliyochagua kusoma ni tofauti na yale niliyokuwa naomba.
Baada ya hapo nikabadilisha na kuongeza kozi ila sasa matokeo ya raundi ya pili bila bila sioni ujumbe wowote.