Majina ya waliokubaliwa UDSM 2019-2020

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,062
7,790
Niliambiwa majina ya waliokubaliwa kujiunga masomo kwa mwaka 2019-2020 yatatoka kwenye tarehe hizi. Kuna mwenye taarifa yoyote?

UPDATE - SEPTEMBER 07, 2019

Mbona nikiingia kwenye account yangu sioni ujumbe wowote? Raundi ya kwanza ilipotoka kulikuwa na ujumbe kuwa nimekosa kwa kuwa masomo niliyochagua kusoma ni tofauti na yale niliyokuwa naomba.

Baada ya hapo nikabadilisha na kuongeza kozi ila sasa matokeo ya raundi ya pili bila bila sioni ujumbe wowote.
 
Niliambiwa majina ya waliokubaliwa kujiunga masomo kwa mwaka 2019-2020 yatatoka kwenye tarehe hizi. Kuna mwenye taarifa yoyote?
Nenda TCU website utakuta kalenda ya matukio yote chronologicaly with regard to joining higher learning institutions in the academic year 2019/2020
 
Niliambiwa majina ya waliokubaliwa kujiunga masomo kwa mwaka 2019-2020 yatatoka kwenye tarehe hizi. Kuna mwenye taarifa yoyote?
Angalia apo
Screenshot_20190814-140732.jpeg
 
Mbona nikiingia kwenye account yangu sioni ujumbe wowote? Raundi ya kwanza ilipotoka kulikuwa na ujumbe kuwa nimekosa kwa kuwa masomo niliyochagua kusoma ni tofauti na yale niliyokuwa naomba.

Baada ya hapo nikabadilisha na kuongeza kozi ila sasa matokeo ya raundi ya pili bila bila sioni ujumbe wowote.
 
Mbona nikiingia kwenye account yangu sioni ujumbe wowote? Raundi ya kwanza ilipotoka kulikuwa na ujumbe kuwa nimekosa kwa kuwa masomo niliyochagua kusoma ni tofauti na yale niliyokuwa naomba.

Baada ya hapo nikabadilisha na kuongeza kozi ila sasa matokeo ya raundi ya pili bila bila sioni ujumbe wowote.
Washaweka ingia tena
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom