Majina ya waliofaulu usaili wa Sensa 2022

Majina ya waliofaulu usaili wa Sensa 2022

Kama huna bando la kusaka mkeka anza kuweka kambi kwenye ubao wa matangazo wa kata yako maana leo na kesho lolote linaweza kutokea kwa wale ambao bado hakijaeleweka

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Noma sn, mie wamenila za kichwa imemiuma sn. Tamisemi kanila ya kichwa, Nbs nao wamenipig ki2 kizito daaah!!
Nilimwambia mdogo wangu shukuru haupo. Maana utajuta ukikosa jina lako kwa kufanya interview kuanzia 12:30 jioni.. na ukatoka kapa.
 
Back
Top Bottom