Mirio
Member
- Jul 22, 2022
- 24
- 25
Hao wote wamepita ama
Hao wote wamepita ama
NBS wametusaliti sanaKwa hali hii hakuna cha NBS mambo yote katani😂
[emoji16][emoji16][emoji16] pole sana mkuuHivi kumbe kuna kufeli usaili [emoji3064]
Mi nikajua tukiitwa usaili ndo tumepita
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Noma sn, mie wamenila za kichwa imemiuma sn. Tamisemi kanila ya kichwa, Nbs nao wamenipig ki2 kizito daaah!!Hivi kumbe kuna kufeli usaili [emoji3064]
Mi nikajua tukiitwa usaili ndo tumepita
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Sinzan bhna mbona hatar hahaHalmashauri nzima watu 65 dahh huu ni upuuzi sasa
Tar 29 mwez 7 mbaka tar 18 mwezi wa 8
Halmshauri zilizopo mkoa wa Mwanza ndo zilivyo. Magumashi sana hizi.
Kweli ww NdondochaTar 29 mwez 8 mbaka tar 18 mwezi wa 9
na sensa tarehe ngapi na mwezi wa ngapi ?Tar 29 mwez 8 mbaka tar 18 mwezi wa 9
Tar 23 mwez 8 sensa, kujaza dodoso siku 5 mbele. Zoezi litakamilika tar 29 mwez 8na sensa tarehe ngapi na mwezi wa ngapi ?
ndugu Ndondocha mkuu
hapa ulikuw una maana ganiTar 29 mwez 7 mbaka tar 18 mwezi wa 8
Pole sana mkuuNoma sn, mie wamenila za kichwa imemiuma sn. Tamisemi kanila ya kichwa, Nbs nao wamenipig ki2 kizito daaah!!
Mbona panga ni kubwa sanaBalaa ni kubwa mno
NBS wamewakabizi rugu watendaji kata[emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hali hii hakuna cha NBS mambo yote katani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]NBS wametusaliti sana
Inamaana semina ni siku 21 kwa wote?Tar 29 mwez 7 mbaka tar 18 mwezi wa 8
NdioInamaana semina ni siku 21 kwa wote?