Majina ya waliochaguliwa pccb haya hapa

akhhhhhhhhhhhhhh! kwanza bora ata nimeikosa hii kazi kwani baada ya kushauriana na familia walikataa kwani ni kazi ya kinoko na inabidi uwe mkuda ndo utafiti apa! kazi gani ya kufatilia maisha ya watu shaurini yenu mtafanyiziwa kitu mbaya...Hongereni PCCB kwa kutochagua jina langu kwani hiyo kazi ya investigation officer siitaki tena
 
akhhhhhhhhhhhhhh! Kwanza bora ata nimeikosa hii kazi kwani baada ya kushauriana na familia walikataa kwani ni kazi ya kinoko na inabidi uwe mkuda ndo utafiti apa! Kazi gani ya kufatilia maisha ya watu shaurini yenu mtafanyiziwa kitu mbaya...hongereni pccb kwa kutochagua jina langu kwani hiyo kazi ya investigatio officer siitaki tena
sizitaki mbichi hizi

View attachment 132100
 
akhhhhhhhhhhhhhh! kwanza bora ata nimeikosa hii kazi kwani baada ya kushauriana na familia walikataa kwani ni kazi ya kinoko na inabidi uwe mkuda ndo utafiti apa! kazi gani ya kufatilia maisha ya watu shaurini yenu mtafanyiziwa kitu mbaya...Hongereni PCCB kwa kutochagua jina langu kwani hiyo kazi ya investigation officer siitaki tena

Sizitaki mbichi hizi kwani ulipo apply hukushauriana na familia yako.
 
Wakubwa list hii hapa kwenye pdf notes.Hivi hawa kazi zao zikoje?na tizi zao ni miezi mingapi?
 
Attachments

  • APTITUDE TEST.pdf
    850.4 KB · Views: 1,033
Usilolijua ni kiza kinene,
akhhhhhhhhhhhhhh! kwanza bora ata nimeikosa hii kazi kwani baada ya kushauriana na familia walikataa kwani ni kazi ya kinoko na inabidi uwe mkuda ndo utafiti apa! kazi gani ya kufatilia maisha ya watu shaurini yenu mtafanyiziwa kitu mbaya...Hongereni PCCB kwa kutochagua jina langu kwani hiyo kazi ya investigation officer siitaki tena
 
Wakuu msilalamike kama uliomba investigation officer na course yako haiku orotheshwa pale kwenye tangazo la maombi, hata uwe una first class uwezi ukaitwa.
wangese hawa nahisi kwenye investigation officer wamechukua wtu wa law tupu.
 
najua watu wengi walikuwa wameapply kwenye investigtion officer so bad hata mimi nimekosa ingawaje kwenye advert yao waliweka hata watu kutoka field nyingine wanaweza kuomba kama watu wa hrm,public adminstartion n.k so bad wamechukua watu wa law peke yao imekula kwetu!!
 
Wadau msaada hapa.....mie jina nimeliona ila si ktk category niliyoombeaa(ya LAW ila limetokelezea ktk humana resource management)...nimemuuliza mtu wa utumishi kaniambia niende kwenye interview labda eti hulo ndo ninakofiti(yaani HRM).Huku jamani si kufanana kwa majina au na niende kwenye interview au?..daah njaa panda niko!..maoni wajameni?
bora hata ww umeitwa.
 
wakuu bro wangu ameitwa kwenye interview kama mtu wa technician ila hajaandikiwa terehe ya lini wanaenda kwenye interviewkwa yeyote anaejua tafadhali naona interview tarehe 17 ni watu wa investigation officer na assistant investigation officer tu
 
Ah! K'make.. Wamenitosa!

Ahahah.. Mkuu uliweka uhakika nn?

dah hata mimi...haki ya Mungu najichukia....

Mkuu vipi unafikia stage ya kujichukia? Maisha bado yanasonga...

daaaah! mambo ya KISENGE-rema haya! walete tu hiyo DUAL CITIZENSHIP!

Hahahahah hahah unataka kimbilia wapi baab??

Wamenitosa ayaaaa!

Sio kwamba huna vigezo mzee, may be ata barua yako hawakuifugua maana nasikia application zilikua million kadhaa. So, chukulia kama haikua ridhiki.

Mi bado kimavi kinanisonga.... Nani jaman anaweza nisaidia.

Mkuu, maisha ya sasa ni wewe na maombi tu ndio vinaweza kukutoa. Kumtegemea binadamu ni ufinyu wa akili mkali wangu.

Ni kwel CPO au cjaangalia vizur

Tumia "Find in this page" upate uhakika

Dah yule jamaa atarudisha pesa yangu k"mmake

hahhaha babu ulinunua kazi PCCB? may be kilikua kipimo kama wewe ni unafaa au?

Dah maskin. safari hii tena simo.
hii course nilisoma ya nn?
naanzisha kampuni ya ulinzi.

Hapana. Huna haja ya ku-blame juu ya course uliosomea. Tafuta kosa jingine, tuendelee kuapply. Tumetoswa wengi tu mzee.

akhhhhhhhhhhhhhh! kwanza bora ata nimeikosa hii kazi kwani baada ya kushauriana na familia walikataa kwani ni kazi ya kinoko na inabidi uwe mkuda ndo utafiti apa! kazi gani ya kufatilia maisha ya watu shaurini yenu mtafanyiziwa kitu mbaya...Hongereni PCCB kwa kutochagua jina langu kwani hiyo kazi ya investigation officer siitaki tena

Ili nalo neno...

wangese hawa nahisi kwenye investigation officer wamechukua wtu wa law tupu.

Kwanini unasema watu wa Law tupu?
 
Back
Top Bottom