HEY WANA JAMII KUNA TETESI KWAMBA KUNA MAJINA ALIYOPEWA MHE MAKAME MBARAWA YA WATU WALIOJIRIWA KWA UPENDELEO WAKATI VIBARUA WANASOTA JE UVUMI HUU VIP? TUJUZANE
Ninavyoifahamu TPA hizo taarifa si za uongo hata Bandari ya Dar kuna vibarua wana miaka zaidi ya kumi na tano wenyewe ni CDW's na wana vyeti vya Bandari collage kwa fani tofautitofauti na wanafanya kazi vizuri lakini wanatoka watu fresh from street wanaajiriwa haraka sana na wengine hata hawajui kazi zenyewe.
Hii serikali wanapoelekea na staili yao ya uongozi hata mtu akiwa na bifu na mtu anasubiri tu ziara ya waheshimiwa maeneo yao na kusema fulani alinifanyia 1,2 ghafla muhusika ataitwa na kudhalilishwa mbele za watu hadi ije julikana ilikuwa ni bifu ushazalilishwa wewe na familia yako yote....Wawe makini kidogo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.