[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja nitaje majina ya bandia ya kitaani kwenu kwanza kabisaa huu mtaa ninaoishi vijana wengi ( tunatumia majina bandia ) sijui kwanini
- mmea
- monster
- sungura
- shundu
- bung'aloo
- dogi a.k.a niger j
- kb
- kidari
- kichenge
- chidi
- ibirisi ( shacks )
- kitulisa
- uncle kidevu
- kido
- mc ngenge
- mnefiri
- nyama za kware
- rasi
- utiti
-chaka
- dan babu
- dacho
- cdk
- nyandu
- montana
- rama chogo
- shacks
-zombie
-mkinga
- bongo
- chopa
- bizzo
- itona
- kobi
- pisi kali ( huyu ni demu ila ni mgumu asikwambie mtu )
- masamurai
- mbogo ( aka mheshimiwa )
- mtundu
- brea
-kido
-captain
- simbamnyama aka fogo
- kifrini
Eehhh aisee majina ni mengi na mbaya zaidi hata mgeni akija na kumuuliza mtu kwa jina lake la kiserikali basi uwezekano wa kumpata muhusika ni mdogo sana kama atakuwa hayajui hayo majina waliyojibatiza wahusika hapo juu..